Ulikua ni ufahari wa kijinga lakini ni kumbukumbu ya kusisumua

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,561
19,056
Ni miaka ya mwisho ya themanini hadi mwishoni mwa miaka ya tisini, wakati huo watu wakiogopa kaswende, na gonorea, ukimwi tunaona kama hadithi, wakati huo hakuna mobile phones,na vipato vya watu vilikua havipishani sana,ilikua ni fahari na sifa(zakijinga) kung'oa totoz...tena haikua kazi rahisi maana sijui wanawake walikuaje! Kama ni hela uwe nayo ya kujihudumia wewe mwenyewe kimavazi uwe maridadi. Kuhonga haikua kiviile,ilikua ni ujasiri, kujiamini na kupanga maneno na vitendo vyako tu.
I was a predator and many a women fell prey. Kulikua na vultures ambao siku hizi wakiitwa madomo zege, Hawa walikua wakitaftiwa madem na dada zao au kutongozewa na marafiki! I wasn't one of them.
Kama kawaida ya predators hula anachokiwinda.... Yaani mwanamke wa kutaftiwa sikuwa na mzuka nao kabisaaa! Tena ajabu basi mwili ulikua kama vile una smaku ya kuwanasa watoto wa kuanzia uswahilini hadi ushuani, tena this species inanishangaza sana, mmoja kaona kabisa mwenzie kaliwa live, unamtokea atakuzungusha kidogo mwisho wa siku na yeye analiwa!
Kuna wale waliokua makungwi na manyakanga kwa mabint wenzao kama alivokua humu Lara1. 'Ooh huyo mwanaume hafai, kicheche,mshenzi hana maana, nione msichana yoyote anamfuata'. Hao ndio nilikua nawataka. Principal ni moja tu, nilikua najiamini! Nikimkuta huyo kubwa lao, kubwa la maadui kwenye kona nnayoitaka natupa nyavu zile za daraja la kwanza(narudia tena sio pesa ni maneno tamutamu tu) na believe me in most cases nang'oa mzigo! Sasa kubwa lao ndio anaanza kuwapiga biti wenzie wasikusogelee shemeji yao! Ila ukizunguuka kwa wengine huku ushampitia kubwa lao hao wengine wanakuja wenyewe! Lakini sio mara zote unafanikiwa, wakati mwingine unakula za uso, lakini predator haogopi kujeruhiwa, ndio sehemu ya game na fantasy yake vinginevyo ale mzoga?(loose balls) hapana.
Ila yote kwa yote wake za watu ilikua hapana , sikuthubutu hata kutamani! Msitu wangu ulikua na swala wa kutosha na nilifurahia kuwinda, ila nilisha acha. Nadhani ulikua ni ujana wa maji ya moto ambayo yameshapoa sasa hivi
Nikikumbuka hua natabasabu pekeyangu huku nikiwasikitikia vijana wa sasa ambao changamoto zao ni tofauti na tulizokua nazo sisi...kubwa ni kua eti nguvu za kiume hawana! Tena za kumridhisha mwanamke moja tu, poleni sana.
Hakika ilikua ni ufahari wa kijinga tu lakini
 
Aah hata MFALME SOLOMONI nae aling'oa watoto wengi wa Israel ila finaly akasema kuwa ni UBATILI....so do you
 
Umeanza vzr lkn hiyo mistari ya mwisho mwisho hiyo.....oohooo ngoja wanaume wa dar waje kukujibu
 
Back
Top Bottom