Ulijifunza nini baada ya kusalitiwa au kuachwa na uliyempenda

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,875
3,097
Wakuu,kwema lakin...happy independence day
Em baelezee umati wa MMU ulichojifunza na namna maisha yako yalivobadilika (japo kw summary) baada ya kutendwa,kuachwa na kadhalika ili mradi tu ilikuwa heartbreak ilokupa maumivu...
Binafsi the last relationship bwn ths time nimeachwa,aisee hili umivu sijawah ona,ukizingatia jamaa alivokuwa na juhudi kuni'approach had ndan ya uhusiano wenyewe,af mwenyewe handsome mvuto A,na me kuona hapa si ndo nimependwa nikapenda pia,mambo ya kuja kuniona hostel usiku kpnd nipo chuo,outings,movie ,kutambulishwa kw rafikize nk vilinipa moyo,nikawa nabana kutoa game lakn siku ya siku nkaona isiwe tabu mana mwenyewe nataka,kiufupi badae uhusiano uliisha kimya kimya,nkaumia,nkalia nk,bt now yashaisha,
nmejifunza:kuwa 'good girl' ndo mwisho pale,i blv bng a bad one will seal the deal next time...
 
mimi nilishatendwa,nilichojifunza nina kinyongo kwanza na aliyenitenda,pili najua nitamfanya nini,tatu nina kitu rohoni najua mwenyewe,nne nimeamua nitakuwa nawakanyaga sana hawa fungus!
 
Nimejifunza kutokuwa wazi kwa mtu aliyekulia kwenye familia au kabila tofauti kwa kuwa asili haachi asili
 
mimi nilishatendwa,nilichojifunza nina kinyongo kwanza na aliyenitenda,pili najua nitamfanya nini,tatu nina kitu rohoni najua mwenyewe,nne nimeamua nitakuwa nawakanyaga sana hawa fungus!

yewoomi,pole sana jmn,angalia tu usitumie bastola ukapoteza ur life kw ajili ya mwanamke aliekucheat..wazuri wapo bado
 
USIZINI. Hadi unafunga ndoa utakua umeonwa na wangapi? utajikiaje? jamaa atajisikiaje? je moyo wako utampenda mumeo kwa dhati kabisa au utaingia nusu-nusu? pole sana kwa yaliyokukuta!
 
kitaeleweka mble ya safari kw kwel,am living now, japo namuombea uyo mume popte alipo...mana ht kwny ndoa nahs ndo stress zaid kuliko huku
 
Niliumia, nikaazimu kulipiza kisasi..ila mwishowe nikaona ni ubatili mtupu. Nikaanza kuwa mtu wa heat and run..nayo nikaona ni upuzi mtupu. Nikaanza kuwa wa mguu nje mguu ndani..napo nikaona hainifai tupu. Sasa niliyenaye namtengeneza taratibu...kama sina mpango naye vile mwisho wa siku itajulikana tu.
 
USIZINI. Hadi unafunga ndoa utakua umeonwa na wangapi? utajikiaje? jamaa atajisikiaje? je moyo wako utampenda mumeo kwa dhati kabisa au utaingia nusu-nusu? pole sana kwa yaliyokukuta!

jamaa atajiskiaje?kwan ntasimulia my past?hakunaga hyo,nimedate watu wawil habar imeishia apo ya nin kuwafukua ma-ex,na yeye ht asinisimulie
kwn kuonwa kitu cha ajabu mzee,ndoa ynyw do u hv any guarantees?
 
Niliumia, nikaazimu kulipiza kisasi..ila mwishowe nikaona ni ubatili mtupu. Nikaanza kuwa mtu wa heat and run..nayo nikaona ni upuzi mtupu. Nikaanza kuwa wa mguu nje mguu ndani..napo nikaona hainifai tupu. Sasa niliyenaye namtengeneza taratibu...kama sina mpango naye vile mwisho wa siku itajulikana tu.

hpfully it works well for u,mana hii mambo haina mjanja..
 
Nimejifunza kuwa na moyo wa ujasiri na katika mahusiano nimejiweka tayari kwa lolote.

Akiamka ananipenda nami nampenda, akinuna nanuna zaidi yake, akiniona me wa nini me namuona yy wa kazi gani.

Kwa ufupi siwekezi tena upande huu. Lakini siwezi kum cheat niliyenaye ila mwendo ndo huo
 
Back
Top Bottom