Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Wewe kama mwana JamiiForums, tushirikishe:

- Uliifahamu vipi JamiiForums?
- Nini kilikushawishi kujiunga na mtandao huu?
- Vitu gani vilikuwa vinakuogofya kujiunga kabla?
- Unawaambia nini wale ambao hawajajiunga na mtandao huu?

Karibu kwa mjadala
 
Binafsi sikuambiwa, sikuwahi kuona mtu yoyote akisearch ila nili google kapersky antivirus katika majibu Jf ilikuwepo na nilipo select nikagundua kuna mambo mengi mazuri.

kwa sasa JF imekuwa zaidi ya dozi ya kutwa mara tatu mpaka wife anadai JF is second wife/ nyumba ndogo

karibu
 
Mimi nilitumiwa email yenye baadhi ya post hadi leo bado natumiwa ikiwa na selected posts. Ndivyo nilivyoijua
 
nisifa zake nzuri ndo zilizonivutia,my frnd from ndo alikuwa foreline kunipa uzur wa ALMASI HII YA KIJAMII
 
unajua ukigoogle kwa kutumia lugha ya kiswahili ukitaka kujua kitu chochote katika ya matokeo ya kugoogle mara nyingi jf huwa imo na ndivyo nilivyoijua
 
Mimi pia nilikuwa nagoogle kitu flani ghafla bila kujua ikaniletea ikiwa kwenye jamii forums nikaselect nikagundua kuna jf , ila kujiunga niliangaika sana lakn baada siku nilifanikiwa bila msaada wowote na nikawa member.
 
  1. Je, kuna mtu alikuambia juu ya JF?
  2. Uliona mtu akisearch?
Binafsi sikuambiwa, sikuwahi kuona mtu yoyote akisearch ila nili google kapersky antivirus katika majibu Jf ilikuwepo na nilipo select nikagundua kuna mambo mengi mazuri.
kwa sasa JF imekuwa zaidi ya dozi ya kutwa mara tatu mpaka wife anadai JF is second wife/ nyumba ndogo
karibu

niliifahamu JF kwa kuambiwa uwepo wake na msera wangu mmoja ambaye ni mtandawazi sana kuliko mimi. Nilikuwa nikimrushia mada tofauti za kuhitaji uwajibikaji na uzalendo, lakini siku moja akaniaambia mada zako ni nzuri sana, lakini tunazifikia wachache kwa sms unazotuma. hebu panua wigo, nenda kwenye mitandao ya kijamii kama face book na jamii foramu.

nilipoanza kuhudhuria huku, JF palinivutia sana, kwani unaweza hata ukamlipua boss wako bila yeye mwenyewe kujua nani katoa taarifa zake kwenye mitandao.

naipenda sana JF
 
Mimi nilikua ninatafuta habari hasaha zinazowahusu January makamba,liziwan kikwete na mbowe,majibu mazuru nikayapata jamiiforums,lakini kama kawaida hapo juu nikaambiwa nikija kupata zaidi nijiunge.nilipojiunga ni furaha kwa kwenda mbele..
 
Back
Top Bottom