Ulifanyiwa nini ukajua hii ni Dar?

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarini,

Naanza kuelezea kisa changu kimoja hivi kilichonitokea mwaka 2016.

Ilikuwa siku ya match kati ya YANGA VS TP- MAZEMBE watu tulingia bure siku hiyo pia na mimi nilizama kucheki game kwenye kiwanja cha M.W.M stadium nikiwa na simu yangu kubwa nimenunua siku sio nyingi.

Kumbe wakati nachukua selfie pale uwanjani wauni wananicheki tu,umefika muda wa kutoka afu nilikuwa nimevaa jezi ya simba Niko peke yangu naelekea geto maeneo ya ubungo Riverside.

Nilikwapuliwa simu yangu na jamaa sijui alitokea wapi tu,nikajaribu kumkimbiza nikashangaa napigwa mjeki na watu wawili nisio wajua ndo nikawa nimepoteza simu yangu mpya kabisa aina ya sum sang.

Kisa cha pili, ndo Mara ya kwanza kufika Dar mwaka 2013 pale Ubungo nimeshuka zangu na begi nikatoka mule ndani ya stendi nikaanza safar ya kwenda Gomz, kwa bahati mbaya mkojo ukanibana Yale yale maeneo ya ubungo,nikasema kimoyo moyo ngoja nikojoe hapa hapa vile najaribu kutoa mashine tu nianze kukujoa wakaja jamaa kama watatu wasema sisi ni maasikali kuanzia sasa hivi upo chini ya ulinzi kwa kosa la kuchafua mazingira unatakiwa kulipa faini ya million 50, ilikuwa Usk muda wa SAA sita hivi.

Nikawajibu hiyo hela sina,wakaanza kunisachi kwa bahati mbaya nilikuwa na hela ya ada kama laki mbili hivi wakaichukua yote ,kisha kuuanza kupotea mmojammoja,akabaki mmoja tu, nae nikashangaa ananikimbia nikawa nmepoteza ivyo pesa ya ada.

Kwa matukio hayo sitokuja kuibiwa tena Dar maishani.
 
Wewe sema ulikabwa na usiseme kwamba hutaibiwa... Omba Mungu akuepushe kukutana na "mafundi mchundo" hela utatoa wewe mwenyewe na huku unacheka.
 
Hiyo ya kukojoa Ubungo mm nilikaza mpaka jamaa akatoa pingu daah.
Sasa sijui Kama zile pingu zilikuwa feki? Ila mjini shule alichukua simu ya tochi na 10k akaniachia jero ya nauri angalau nifike geto.
 
Yangu mi ni mwez huu tu nimetoka jkt huko Lindi. Nilifikia kigamboni kwa bro sasa jmos si tukaona vyema kwenda kariakoo kununua viwalo. Kweli tumefika ndo kwanza nimenunua T-shirt moja kwa Boma pale kwa mnaopajua. Ile tunageuza kwenda kwingine naskia mtu ananishika. 'Dogo umenikanyaga au kisa nina ndara sio' .Ghafla akanitikisa kwa nguvu kinoma bas nikaomba samahani. Akawa mpole. 'Poa yameisha dogo ' .Kwenda mbele kidogo bro ananiuliza kuwa makini hapa so pazuri, una simu yako?.Kugusa hakuna kitu mfukon. Kugeuka nyuma hakuna mtu zaidi ya tenga la ndizi. Duuh asee infinix yangu ndo ikasepa hivo.
Mood ikapotea hata kununua nikamwambia turud skani. Maanina zao mkiona mwizi popote msimuache asee tafadhali. Nimemaliza.
 
Jamaa wanaaangalia ulivo,ulivo vaa,unavoshangaa pia unavotembea.
Wakishajua huyu wakuja ndio wanakuattack ila wizi huu ndio common sana sasa iv kila siku watu wanaibiwa.
Ukiona mtu anakusimamisha et umemkanyaga usiwe mwoga andelea na safari yako au mkazi huku mikono yako iwe kwenye mifuko yako maana mmoja anakutingisha mwingine anapita kwenye mifuko yote fasta sana
 
mimi nimesimama zangu pale buguruni sokoni nasubiri gari za gongo la mboto niko simple na simu yangu nokia asha 201 nachart,anakuja mpuuzi mmoja mrefu ananuliza ilipo sophia hospital.eti ana baba yake ni mgonjwa amemtoa mkoa kamfikisha sehemu anataka msaada wa kuelekezwa ilipo hiyo hospital na msaada wa kubeba mzee mpaka hapo hospital.
nikiwa kwenye sintofahamu,maana nimeshaingia kingi(1) kwamba jamaa ana shida kweli ila sijui hospitali yenyewe iko wapi,ile nataka nimuulize mpita njia mmoja,akadakia jamaa naye alikuwa amesimama si mbali na tulipo.kwamba mnashida gani??tukamweleza.huyu yeye alikuwa na kila muonekano wa mtumiaji wa madawa ingawa alikuwa amevaa smart.akaanza kunilaumu mimi,wewe jamaa mtu amekuomba msaada wa kumbeba baba yake wewe unataka umuelekeze hospital tu kisha umuache???acha hizo bana haya maisha tu,mimi napajua ila twendeni wote nawewe ukamsaidie tumsaidie jamaa chap,haya maisha tu.
mjuba nikaingia kingi(2),tukaanza safari.

sasa njiani naona macho ya tunaowapita wamekaa kwenye vibaraza vya maduka,kama wananikodolea sana,,nikapata wasi wasi ila nikapuuza.nikapunguza speed ya kutembea ili niwape nafasi wakae mbele yangu,wakajaa mbele wasijue nawa kagua,nikawa nasoma gesture zao japo wanapiga story za mgonjwa ila ni kama wamezoeana kupita kiasi ghafla.akili inakanambia hawa wanajuana washenzi hawa,pale pale nikasimama,nikamwaita oyaaa mimi naishia hapa maana naona hatufiki huko tuendako.wakapanick"kama ulikuwa hutaki kwenda toka mwanzo ungesema maana ulionekana tu.nikageuza zangu wao wanatukana.

wakati narudi ndio wale wa vibarazani wananiuliza vipi dogo wamekuacha,wale vibaka sisi tunakukonyeza huelewi unaenda tu,tukajua umelizwa tayari,nikawambia hapana.mimi kwenyewe kipele pangekucha huko.

mpaka hapo huwa niko makini sana na wanaoomba misaada road.
 
bonge la story
mzee wa likes nimekuvulia kofia kama ya magu
 
😀😀😀😀😀

Eti dogo wamekuacha.

Dar sio pakumuamini mtu usiemjua.
 
Muulize@analyse vizuri hela ya ada na kibegi vilienda way
Wakuu habarini,

Naanza kuelezea kisa changu kimoja hivi kilichonitokea mwaka 2016.

Ilikuwa siku ya match kati ya YANGA VS TP- MAZEMBE watu tulingia bure siku hiyo pia na mimi nilizama kucheki game kwenye kiwanja cha M.W.M stadium nikiwa na simu yangu kubwa nimenunua siku sio nyingi.

Kumbe wakati nachukua selfie pale uwanjani wauni wananicheki tu,umefika muda wa kutoka afu nilikuwa nimevaa jezi ya simba Niko peke yangu naelekea geto maeneo ya ubungo Riverside.

Nilikwapuliwa simu yangu na jamaa sijui alitokea wapi tu,nikajaribu kumkimbiza nikashangaa napigwa mjeki na watu wawili nisio wajua ndo nikawa nimepoteza simu yangu mpya kabisa aina ya sum sang.

Kisa cha pili, ndo Mara ya kwanza kufika Dar mwaka 2013 pale Ubungo nimeshuka zangu na begi nikatoka mule ndani ya stendi nikaanza safar ya kwenda Gomz, kwa bahati mbaya mkojo ukanibana Yale yale maeneo ya ubungo,nikasema kimoyo moyo ngoja nikojoe hapa hapa vile najaribu kutoa mashine tu nianze kukujoa wakaja jamaa kama watatu wasema sisi ni maasikali kuanzia sasa hivi upo chini ya ulinzi kwa kosa la kuchafua mazingira unatakiwa kulipa faini ya million 50, ilikuwa Usk muda wa SAA sita hivi.

Nikawajibu hiyo hela sina,wakaanza kunisachi kwa bahati mbaya nilikuwa na hela ya ada kama laki mbili hivi wakaichukua yote ,kisha kuuanza kupotea mmojammoja,akabaki mmoja tu, nae nikashangaa ananikimbia nikawa nmepoteza ivyo pesa ya ada.

Kwa matukio hayo sitokuja kuibiwa tena Dar maishani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom