Ulianzaje kukaa gheto?

Walec

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
940
1,000
Nishukuru wanajamii wote kwa kunihamasisha kujitegemea japo home vyumba vya kutosha ila nilifanya maamuzi japo ilikuwa kwa mbinde na maswala.ya vitisho ila nashukuru Mungu mwezi wa tatu japo geto halijaa kaa kigeto kweli ila soon as possible litakuwa fresh na nitaleta picha ya geto langu mahala lilipofikia

Ccc NAKWEDE
Hongera sana boss...mambo mdogo mdogo tu... kumbe ulipigwa mkwara?
 

Diason David

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,577
1,995
Nimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
Karibu sana getoni kwangu hata siku moja nikupe maujanja ya kuishi free unavyo taka nimefahamu kuwa bado huko kwenu

Ccc NAKWEDE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom