Uliahidi Wewe ni Kiongozi wa wote Hivi 2020 Upo tayari kujibu huu ukatili na Masibu kwa Watz!?

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,625
2,000
1. Ya Kibiti
2. Ben saanane,Anzory na wengine
3.Kuua democrasia na mfumo vywama vingi
3. Kuharibu umoja wa taifa letu
4. Dhuluma madai mafao sheria kandamizi
5.Kubeza , kufifisha na Kuua sector binasfsi.
6. Kubeza na Kuwa kejeli WaTz hitaji muhimu la Katiba
7.Kubariki rushwa kuunga juhudi na kulipa mzigo mkubwa taifa marudio chaguzi feki
8. Mateso kesi zisizo na tija viongozi upinzani.
9. Kuwa tumia wahuni kina msiba kuharibu amani na umoja wa taifa.
10. Upendeleo wa wazi miradi maendeleo Chatto
11. Ajira mbali ya serikali kuu, sector binafsi inapuuzwa na kutatishwa tamaa.
12. Shambulio la kigaidi Tundulisu.
13. Akwilina na Wengine.
14. Lugha ubabe na kejeli kwa Watumishi na WaTz kwa ujumla.Hotuba karibu zote zina kosa Neno la matumaini.

Sina Hakika Kwa hayo na mengineyo una mpango kurudi kwa Wananchi kuomba na kujibu hoja.
 
Kiwete

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
709
1,000
1. Ya Kibiti
2. Ben saanane,Anzory na wengine
3.Kuua democrasia na mfumo vywama vingi
3. Kuharibu umoja wa taifa letu
4. Dhuluma madai sheria kandamizi

Baadhi ni ya ICC.Muda tu utaamua kabla Fatou Bensuda hajatia timu bongo kuanza upelelezi.Tunao mashahidi wa kutosha mfano Mo,Roma n.k
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,625
2,000
Alianza japo vizuri kwa matumaini.Mbaya zaidi kubeza watangulizi wake as if hawakusitahili.
 
bernardp

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
619
1,000
1. Ya Kibiti
2. Ben saanane,Anzory na wengine
3.Kuua democrasia na mfumo vywama vingi
3. Kuharibu umoja wa taifa letu
4. Dhuluma madai sheria kandamizi
5.Kubeza , kufifisha na Kuua sector binasfsi.
6. Kubeza na Kuwa kejeli WaTz hitaji muhimu la Katiba
7.Kubariki rushwa kuunga juhudi na kulipa mzigo mkubwa taifa marudio chaguzi feki
8. Mateso kesi zisizo na tija viongozi upinzani.
9. Kuwa tumia wahuni kina msiba kuharibu amani na umoja wa taifa.
10. Upendeleo wa wazi miradi maendeleo Chatto
11. Ajira mbali ya serikali kuu, sector binafsi inapuuzwa na kutatishwa tamaa.
12. Shambulio la kigaidi Tundulisu.
13. Akwilina na Wengine.
14. Lugha ubabe na kejeli kwa Watumishi na WaTz kwa ujumla.Hotuba karibu zote zina kosa Neno la matumaini.

Sina Hakika Kwa hayo na mengineyo una mpango kurudi kwa Wananchi kuomba na kujibu hoja.
Mafao ya wastaafu kufyekelewa mbali.
 
Lakini pamoja na yote hayo, hatuoni mtanzania hata mmoja anaingia barabarani kudai haki kwa maandamano ya amani.

Kwa hali ilivyo sasa na presha ya umoja wa mataifa, wafanyakazi inabidi tuitishe maandamano ya amani mikoa yote jumamosi ya kwanza ya mwezi wa 12.

Najua jiwe atatishia kupeleka jeshi lakini hawatadhubutu kuua hata raia mmoja. Yakiitishwa maandamano na vyama vyote vya wafanyakazi, jiwe lazima akalishwe. Na nchi za magharibi zitayamulika ili wapate pa kumkamata jiwe na mbwembwe zake.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,097
2,000
1. Ya Kibiti
2. Ben saanane,Anzory na wengine
3.Kuua democrasia na mfumo vywama vingi
3. Kuharibu umoja wa taifa letu
4. Dhuluma madai sheria kandamizi
5.Kubeza , kufifisha na Kuua sector binasfsi.
6. Kubeza na Kuwa kejeli WaTz hitaji muhimu la Katiba
7.Kubariki rushwa kuunga juhudi na kulipa mzigo mkubwa taifa marudio chaguzi feki
8. Mateso kesi zisizo na tija viongozi upinzani.
9. Kuwa tumia wahuni kina msiba kuharibu amani na umoja wa taifa.
10. Upendeleo wa wazi miradi maendeleo Chatto
11. Ajira mbali ya serikali kuu, sector binafsi inapuuzwa na kutatishwa tamaa.
12. Shambulio la kigaidi Tundulisu.
13. Akwilina na Wengine.
14. Lugha ubabe na kejeli kwa Watumishi na WaTz kwa ujumla.Hotuba karibu zote zina kosa Neno la matumaini.

Sina Hakika Kwa hayo na mengineyo una mpango kurudi kwa Wananchi kuomba na kujibu hoja.
Ukiwa Rais kupitia ccm ghafla unageuka na kuwa mungu .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom