Uli 'deal' vipi na break up. It pains me

Daaaa Pole sana kamanda ushauri wangu acha kuwekeza Akili sana kwa wanawake we ukipata Mwanamke ishi ukijua any time atakuacha hii somehow itakuondolea maumivu makali siku anaondoka coz unakua unafahamu ila ukiishi kwa kuwaza huyu kufa kuzeeka utajikuta unakufa Kweli ww yeye utamuacha.
 
simtaki tena kitu kikichefua huwa sirudi nyuma I don't like emotional manipulator people aisee wako ka kupe ukiwaendekeza hutakuwa na furaha na wengine tushajizoelea kujifanyia mambo yetu
Achana nae huyo
Hivi si unakumbuka nlikwambiaga nakuhitaji?au umensahau
 
Nikipindi ambacho nilifanya ibada kwa nguvu zote, maana niliona pekeyangu siwezi
 
Wanawake kwenye ubora wao, apo kuna kijamaa kinampa maneno matamu tu afu mwamba unaachwa, pole sana.

Jifunze kutowekeza sana kwenye mahusiano namaanisha kihisia na kiuchumi pia coz sote binadamu kubadilika ni dakika 0.
Chukua hiyo itakusaidia mbele ya safari ila kwa hali yako ya sasa sijui ufanyaje zaidi ya kuumia tu ila tu usijidhuru.
 
UPDATES:
At last it (relationship) has ended for good. I can't hold the truth that it wasn't sore,but consequently I am on a safe road.

I am less strained now
 
Nilitoka kutukanwa Sana wiki iliyopita haikuishia hapo pia nikaachwa nikaamua kukaa kimya . Nikaanza life mpya mungu huyu jamani !!! Akanibless na rafiki yake ... Yani hapa nimejitolea kimasomaso na mpenzi shemeji ....
 
Nilitoka kutukanwa Sana wiki iliyopita haikuishia hapo pia nikaachwa nikaamua kukaa kimya . Nikaanza life mpya mungu huyu jamani !!! Akanibless na rafiki yake ... Yani hapa nimejitolea kimasomaso na mpenzi shemeji ....
I hope habari haijamfikia 'ex' wako, kama imemfikia na bado hajatoa hata rangi yake moja ni jambo la kumshukuru Mungu
 
Iko hivi mwanamke kama sio mke wa mtu na unamhitaji lazima umpate. Ukijipanga vizuri tu hawezi kuchomoa, tena kama ulishamla kazi ndio rahisi zaidi, ni swala la muda tu analainika. Mwanamke hawezi kukushinda kumrudisha hasa hawa dada zetu wa kibongo. Nimempa huo ushauri kwa sababu anaonekana anampenda na uwezo wa kumwacha hana.

Wewe upo sahihi kabisa. Katika comments zote, wewe ndo umesema ukweli but anapaswa kuwa very strong. Wanawake hawapendi wanaume wa kulialia.
 
Hi kwa members wote wa Jf. I hope mko na afya njema tu, if not so m/Mungu awape wepesi na kuwaponya.

Back to the topic, hivi karibuni kametokea ka 'atmosphere' ka ovyo mno kwenye relationship yangu. Kila niki 'project' mambo ya mbele naona kabisa ninaachika 100%.

Although sijatamkiwa (nasitaki iwe ivyo) najaribu kuukubali ukweli lakink naona kabisa moyo unaanza kuwa mzito mno

Furaha imepotea kabisa, I find myself moodless muda mwingi. It 's been only few days tangu nigundue ,lakini things are fu****g off.

Mchango wako unahitajika , je ulitumia njia zipi kukabiliana na break up whether ilikuwa sudden one au uliyokuwa unajua inakaribia.

Things are not on the line. I find myself playing the same song over and over. (My song has been Monalisa ever since the woman I love showed signs of leaving me).

It 's urgent. I need your comments
Kaka,
Pole, MUNGU akutie nguvu, jaribu kukubali kinachotokea, akili yako na mawazo yako yaweke kwa MUNGU pekee, na ushukuru kwa yanayotokea , uenda alikuwa sio wako huyo , kwamba ulipenda sipo.

Mshukuru MUNGU endelea na maisha .

Angalizo : wala usimchukie ila , move on.
 
Hii ya kuchunia ndio mbaya atampoteza mazima you love someone mwambie kuchuniana ni zaidi ya ujinga na inaua, bond, affection na kumfanya na yeye akutoe moyoni na kutafta mtu mpya. Mie Kuna mtu alifanya hivo sikuhizi namchukia na akinitafta naona kero.
So kuchuniana ni lack of maturity communication is key
what if amekublock?is okay kumtafuta kwa simu za za watu daily?
 
Akikupigia video call usipokee
Screenshot_20211110-202044_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom