Ulevi na uadilifu wa ndoa....

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,963
2,014
Mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……

Mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick hick….nashema niashe hick hick….nampenda mke wangu…
Kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake….
Ipi itakua reaction ya mamsapu?

Hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....

Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa Masiha....mbege na bia kwa wingi!

Ndoa inahitaji uvumilivu,,,Neema ya Mungu kuwezesha hilo pia inahitajika.
 
Mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……

Mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick hick….nashema niashe hick hick….nampenda mke wangu…
Kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake….
Ipi itakua reaction ya mamsapu?

Hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....

Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa Masiha....mbege na bia kwa wingi!

hahahaaa... khekhekheeeee... hii sijawahi sikia aisee
sijui mama atahukumu?
 
RR hapa bwana uadiilfu ndo dili ila ulezi so issue tena walevi ndo wazuri akilewa anasahau hata kama kaja na mwanamke a ha haha

Mh! kweli??? vyote vibaya ndugu yangu - suppose............suppose.........just imagine plse!

1. anakunywa halafu anakuja home anajitapikia - adha ya kusafisha matapishi unaionaje?
2. analala kitandani anajikojelea........unafua mkoja wa mtu mzima tena unanuka pombe??
3. anajisaidia haja kubwa kitandani - labda - tumbo limemchafuka shauri ya kilevi???
4. disturbances za usiku - watoto wanapigiwa makelele ---ah

5. kukosa uadilifu nako - mara katembea na housegirl - mara na shemeji zake - mara na viruka njia mjini - mara majirani (mabinti/vijana??) ah!

Jamani TABIA nyingine ...................zinafanya ndoa iwe ndoano..........
 
hahahaaa... khekhekheeeee... hii sijawahi sikia aisee
sijui mama atahukumu?

Mixed fillings mkuu...ila nadhan akitulia ataona jamaa anavyompenda....
Hivi on the same scenario jamaa angemkumbatia mama huku akibwabwaja maneno matamu ila akitamka majina mengine ya kike.....ingekuaje.
 
Mkuu RR,

Huyo jamaa inabidi mama ampe spesho present aisee... Yani jamaa anawasha kabisa na vibao ili kujikinga na infidelity; ila hapo mama anaweza kuanza na swali inakuaje mpaka unafika ghetto/room na mtu ambaye si mke wako? au umeshawachapa wangapi??

Maana wamama wengine kwa TRIBUNAL ni soo aisee... tunawaita OCAMPO aisee
 
Sikuifikiria kwa angle hiyo mkuu......labda tuseme alirudishwa na washkaji etc....
 
Mh! kweli??? vyote vibaya ndugu yangu - suppose............suppose.........just imagine plse!

1. anakunywa halafu anakuja home anajitapikia - adha ya kusafisha matapishi unaionaje?
2. analala kitandani anajikojelea........unafua mkoja wa mtu mzima tena unanuka pombe??
3. anajisaidia haja kubwa kitandani - labda - tumbo limemchafuka shauri ya kilevi???
4. disturbances za usiku - watoto wanapigiwa makelele ---ah

5. kukosa uadilifu nako - mara katembea na housegirl - mara na shemeji zake - mara na viruka njia mjini - mara majirani (mabinti/vijana??) ah!

Jamani TABIA nyingine ...................zinafanya ndoa iwe ndoano..........
Unazungumzia mlevi au mwehu?
katika hali ya kawaida, unaweza kulewa ujitapikie, ujikojolee, ujinyee??? kweli??
 
Mkuu RR,

Huyo jamaa inabidi mama ampe spesho present aisee... Yani jamaa anawasha kabisa na vibao ili kujikinga na infidelity; ila hapo mama anaweza kuanza na swali inakuaje mpaka unafika ghetto/room na mtu ambaye si mke wako? au umeshawachapa wangapi??

Maana wamama wengine kwa TRIBUNAL ni soo aisee... tunawaita OCAMPO aisee
hahahahaaa!!! Habari ya OCAMPO wako bana!
 
Mixed fillings mkuu...ila nadhan akitulia ataona jamaa anavyompenda....
Hivi on the same scenario jamaa angemkumbatia mama huku akibwabwaja maneno matamu ila akitamka majina mengine ya kike.....ingekuaje.

RR,
On the same scenario kama angemkumbatia mama na kutaja majina mengine ya kike, hiyo kwa mtazamo wangu ndo ingekuwa balaa zaidi!
Bora hiyo ya kuza ba vibao kwani mama atakuwa amejenga assumptions nyingi ambazo majibu atakuwa hana kwa wakati huo!
Nawasilisha!
 
Then as long one proves his honesty......pombe sio ishu.....noted!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom