Wakuu hesima yenu;
Nimefuatilia kwa kina mjada wa kufuga kuku wote lakini nilishawishika na kufuga kuku wa kienyeji, na nimenunua mashine ya kutotolea vifaranga,inauwezo wa kutotoa mayai 20.
Nimetumia mashine hii mara mbili sasa, mara ya kwanza niliweka mayai 20 yakatotolewa 18, katika vifaranga hao wanne(4) walikua walemavu wa miguu na wakafa ndani ya siku 3, sikujali nilijua bahati mbaya, Na mara yapili niliweka tena 20 egg matokeo nilipata vifaranga 17 na pia waane walemavu wa miguu,wanatembelea tumbo.
Bila ya kusahau mashine inatumia umeme na ni automatic (huhitajiki kuyageuza mayai)
Swali: Tatizo la ulemavu wa miguu kwa vifaranga husababiswa na nini?