Ulemavu wa miguu kwa vifaranga unasababishwa na nini?

Albimany

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
281
114
Wakuu hesima yenu;

Nimefuatilia kwa kina mjada wa kufuga kuku wote lakini nilishawishika na kufuga kuku wa kienyeji, na nimenunua mashine ya kutotolea vifaranga,inauwezo wa kutotoa mayai 20.

Nimetumia mashine hii mara mbili sasa, mara ya kwanza niliweka mayai 20 yakatotolewa 18, katika vifaranga hao wanne(4) walikua walemavu wa miguu na wakafa ndani ya siku 3, sikujali nilijua bahati mbaya, Na mara yapili niliweka tena 20 egg matokeo nilipata vifaranga 17 na pia waane walemavu wa miguu,wanatembelea tumbo.

Bila ya kusahau mashine inatumia umeme na ni automatic (huhitajiki kuyageuza mayai)

Swali: Tatizo la ulemavu wa miguu kwa vifaranga husababiswa na nini?

ulemavu wa miguu kwa kuku umekua tatizo kubwa..hata hawa kuku wa broiler wanalemaa sana..unatakiwa uchunguz kwa kwel!...tukisema tatizo ni "incubator"mbna zilikuwa zinatumika na tatizo halikwepo??????

Wakuu hesima yenu;

Nimefuatilia kwa kina mjada wa kufuga kuku wote lakini nilishawishika na kufuga kuku wa kienyeji, na nimenunua mashine ya kutotolea vifaranga,inauwezo wa kutotoa mayai 20.

Nimetumia mashine hii mara mbili sasa, mara ya kwanza niliweka mayai 20 yakatotolewa 18, katika vifaranga hao wanne(4) walikua walemavu wa miguu na wakafa ndani ya siku 3, sikujali nilijua bahati mbaya, Na mara yapili niliweka tena 20 egg matokeo nilipata vifaranga 17 na pia waane walemavu wa miguu,wanatembelea tumbo.

Bila ya kusahau mashine inatumia umeme na ni automatic (huhitajiki kuyageuza mayai)

Swali: Tatizo la ulemavu wa miguu kwa vifaranga husababiswa na nini?

Hyo mashine ulinunua bei gan? Na ile inayo2mia mafta ya taa zinapatikana kwa bei gan?

jitahidi sana hao kuku wanaotaga mayai kupata chakula kizuri - pia hakikisha kina Calcium ya kutosha. otherwise utakuwa na banda zima la kuku makoba (vilema).

Pia vifaranga wakishatotolewa jitahidi kuwapa chakula balanced chenye protein, calcium, madini jito etc.... usiwape pumba na maji.

Wape chakula bora vifaranga wako, na pia angalia source ya hayo mayai unayototoa.......uliipata wapi hiyo incubator? Natafuta ya namna hiyo.

Hyo mashine ulinunua bei gan? Na ile inayo2mia mafta ya taa zinapatikana kwa bei gan?

Mashine nimenunu ENGLAND kama laki sita za kibongo,kwa bahati mbaya sijaziona za mafuta ya taa.

Nasikia chuo kikuu Dar es slam wako vijana wanatengezeza hizo za mafuta fuatilia au ulizia sido watakusaidia.

Incubator yako huwa unaweka maji mara ngapi? Wiki mbili za mwishoni jitahidi kupunguza maji coz watu wengi wanatoa vifaranga vikiwa na shida kwasababu wanaendelea kuweka maji katika kiwango kile kile kwenye incubation cycle nzima while the last week ndo ya kuchunga sana kuhusu uongezaji wa maji hilo ndo tatizo kubwa.

Wakuu hesima yenu;

Nimefuatilia kwa kina mjada wa kufuga kuku wote lakini nilishawishika na kufuga kuku wa kienyeji, na nimenunua mashine ya kutotolea vifaranga,inauwezo wa kutotoa mayai 20.

Nimetumia mashine hii mara mbili sasa, mara ya kwanza niliweka mayai 20 yakatotolewa 18, katika vifaranga hao wanne(4) walikua walemavu wa miguu na wakafa ndani ya siku 3, sikujali nilijua bahati mbaya, Na mara yapili niliweka tena 20 egg matokeo nilipata vifaranga 17 na pia waane walemavu wa miguu,wanatembelea tumbo.

Bila ya kusahau mashine inatumia umeme na ni automatic (huhitajiki kuyageuza mayai)

Swali: Tatizo la ulemavu wa miguu kwa vifaranga husababiswa na nini?

kwenye post yangu pia nimesahau kukwambia jaribu kuinterchange positions za mayai kwny incubator pia kwasababu joto haliko uniformly distributed most of the times hasa kama incubator haina feni so ukijaribu kubadilisha badilisha position kila unapogeuza mayai nafkiri unanielewa itasaidia yale mayai ambayo hupata joto sana au joto kidogo kutotofautiana saaana...take this in mind pia kwamba incubator nyingi cyo 100 yako una bahati kati ya 20 defects ni wanne au watatu. Nyingne mpaka sita au nane

Ahsante Mkuu,

Nawashukuru wale wote waliochangia mawazo yao,na nawakaribisha tena wale watakao ongezea mawazo yao.

DON MANGI, nitayafanyia kazi mawazo yako, Hili la maji nikweli inawezekana mana kila yakipungua mimi na yajaza,na hili la kubadilisha posision ya mayai nitalifanya pia,ingawa mashine yangu ni automatic sigeuzi mimi ila nitajaribu kubadilisha posision,oa na nitatoa jibu baada ya 2weeks.

aisee mkuu hiyo incubator ya mayai 20 Inaunzwa shilingi ngapi nitaipata wapi?

Back
Top Bottom