Elections 2010 Ule utabiti wa mzee umetimia?...rip

MOMO

Member
Feb 10, 2008
83
3
Mm wana JF..ebu fikirieni hili imekaaje?...nadhani ni coincidence ila hii kitu kidogo imenichenguwa. Tumempoteza SYLLESAID MZIRAY ( Super Coach) siku ya uchaguzi na kuna Mgombea wa Urais mwenye same last name- PETER MZIRAY (APPT). Isije kuwa hii ndiyo ile issue ya Mzee Yahaya. Huwenda ilimjia ikiwa imechakachuka na Antenal yake ikashindwa kuinasa vizuri? This is just me thinking aloud!!!
 
Nami niliisi ivo! Unaweza kukuta komputa ya mnajimu hushika jina moja,alipoona mziray kufa kabla ya uchaguz akaisi ni mgombea kumbe ni Mwanaspoti jaman! MOLA mrehemu Mziray.
 
Back
Top Bottom