Ule utabiti wa mzee umetimia?...rip | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ule utabiti wa mzee umetimia?...rip

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MOMO, Nov 2, 2010.

 1. M

  MOMO Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mm wana JF..ebu fikirieni hili imekaaje?...nadhani ni coincidence ila hii kitu kidogo imenichenguwa. Tumempoteza SYLLESAID MZIRAY ( Super Coach) siku ya uchaguzi na kuna Mgombea wa Urais mwenye same last name- PETER MZIRAY (APPT). Isije kuwa hii ndiyo ile issue ya Mzee Yahaya. Huwenda ilimjia ikiwa imechakachuka na Antenal yake ikashindwa kuinasa vizuri? This is just me thinking aloud!!!
   
 2. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  :smile-big::smile-big:
   
 3. M

  Mojoauthentics Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Inawezekana c unajua tena umri wake umepaa
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Nami niliisi ivo! Unaweza kukuta komputa ya mnajimu hushika jina moja,alipoona mziray kufa kabla ya uchaguz akaisi ni mgombea kumbe ni Mwanaspoti jaman! MOLA mrehemu Mziray.
   
 5. SUZANE

  SUZANE JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 740
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  :smile-big::yield:
   
Loading...