Jidundufila
Member
- Nov 2, 2010
- 86
- 11
Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?
Wamezigawa kwa waume za "magamba"Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?
Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?
Waungwana wa hapa JF CUF walikuwa wanajitapa sana kuwa walikuwa na mtaji wa kura elfu kumi kabla ya uchaguzi na huko ndio nyumbani kwa CUF pia wakataka CDM wajitoe kwa kuwa hawakuwa na mtaji wa kura huko. Je matokeo yao vipi! mtaji umebaki au umeyeyuka kama barafu nyumbani kwa CUF ilipozaliwa
Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?