Njoo ununue tu hakuna mjimpya wala kitongoji kipya ilishakufa zamani sana hiyo planJamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Mpango upi huo..?😀Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
There is no such thing, nunua kiwanja hicho uje kukaa upepo unakovuma , usisahau siku hizi kun a gari za Tanga "Tashriff " kutoka kigamboni to Tanga na inajaza kila siku
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Kigamboni via Nyerere bridge, Mandela road, ubungo, mwenge, Bunju Bagamoyo, msata to Tanga.Inapitia wapi boss
Tumehamishia Chattle.Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Ooh George Bush anataka kufanya massive Investment huko Kigamboni..Sijui mdudu gani aliingia enzi za Tibaijuka.
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
tumeachiwa documentary tuJamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Baadhi ya watu walichangamkia sana maeneo hadi huko Mwasonga, Kimbiji, Tundwi na kwingineko. Ila nionavyo mwenye pesa yake achukue tu hayo maeneo kwa sasa maana ipo siku chini ya utawala wa mtu mwingine huo uwekezaji utaibuka tena na watakaokuwa tayari wana maeneo huko watafaidi. Na ni hivyo hivyo hata kwa maeneo ya Bagamoyo.tumeachiwa documentary tu
ila huu nao ni utapeli tu ulifanyika
Mkuu hata sisi wa tanga tumeachiwa documentary tu ya pongwe satellite city, huu ni usanii tu wa kupandisha thamani ya viwanjatumeachiwa documentary tu
ila huu nao ni utapeli tu ulifanyika