Ule mpango wa mji wa kisasa Kigamboni umefikia wapi?

Amjadey

Member
Jun 29, 2011
83
31
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
 
There is no such thing, nunua kiwanja hicho uje kukaa upepo unakovuma , usisahau siku hizi kun a gari za Tanga "Tashriff " kutoka kigamboni to Tanga na inajaza kila siku
 
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Njoo ununue tu hakuna mjimpya wala kitongoji kipya ilishakufa zamani sana hiyo plan
 
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
Mpango upi huo..?😀
 
Tumehamishia Chattle.
 
1564794257899.png
 
Hili suala limekuwa linaleta shida sana hasa kwa sisi madalali wa viwanja, unakuta mtu ana nia ya kukaa Kigamboni ila anaogopa
Waliotuelewa tumewatafutia viwanja na wametulia na maeneo yao
 
Umeishia ferry
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
 
Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema kununua au sio sehemu salama kununua
tumeachiwa documentary tu

ila huu nao ni utapeli tu ulifanyika
 
tumeachiwa documentary tu

ila huu nao ni utapeli tu ulifanyika
Baadhi ya watu walichangamkia sana maeneo hadi huko Mwasonga, Kimbiji, Tundwi na kwingineko. Ila nionavyo mwenye pesa yake achukue tu hayo maeneo kwa sasa maana ipo siku chini ya utawala wa mtu mwingine huo uwekezaji utaibuka tena na watakaokuwa tayari wana maeneo huko watafaidi. Na ni hivyo hivyo hata kwa maeneo ya Bagamoyo.
 
Kwa wasioelewa hiyo miradi ya kigamboni satellite city, Pongwe city na arusha usariver safari city ni janja ya kuuza viwanja kwa bei ghali, yale magorofa tuliyooneshwa kwenye ile short film ya kigamboni city yamewachanganya wengi na kushawishiwa kununua viwanja kwa bei ghali kwa tamaa ya kuishi ndani ya huo mradi
 
Back
Top Bottom