OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,714
Sijui niseme ni utamaduni au nini
Kuna watu hawawezi kufanya mapenzi kukiwa na mwanga. Hata pale kunapokuwa na usalama wa kutokuwa na uwezekano wa kupigwa chabo ni lazima mzime taa au mjigubike shuka ndio umpande!
Sijawahi kupata majibu kwa nini baadha ya wasichana wanakuwa hivi! Ina maana kama mnafanya mapenzi mchana ni lazima mjifunike shuka labda muache vichwa wazi tu. Sina uhakika kama na wanaume hukutwa na haja hii,labda wale wenye vibamia wanaogopa bamia kuonwa.
Tusaidiane hapa,inaleta shida sana kwa wengine tunaopenda kuona miili inavyonyumbulika wakati wa kufanya mapenzi