Ulazima wa kufanyia mapenzi kwenye giza

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,964
2,000
Sijui niseme ni utamaduni au nini

Kuna watu hawawezi kufanya mapenzi kukiwa na mwanga. Hata pale kunapokuwa na usalama wa kutokuwa na uwezekano wa kupigwa chabo ni lazima mzime taa au mjigubike shuka ndio umpande!

Sijawahi kupata majibu kwa nini baadha ya wasichana wanakuwa hivi! Ina maana kama mnafanya mapenzi mchana ni lazima mjifunike shuka labda muache vichwa wazi tu. Sina uhakika kama na wanaume hukutwa na haja hii,labda wale wenye vibamia wanaogopa bamia kuonwa.

Tusaidiane hapa,inaleta shida sana kwa wengine tunaopenda kuona miili inavyonyumbulika wakati wa kufanya mapenzi
 

strugo

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,240
2,000
Raha ya sex muonane labda itokee usiku sana mpo usingizini taa zimezimwa
Mmh mm naona kupapasa kama unatafta senene kwenye kichaka usiku wa manane itapendeza sana

Kuonana kibamia kinaweza kubadili location
 

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
135,450
2,000
Mmh mm naona kupapasa kama unatafta senene kwenye kichaka usiku wa manane itapendeza sana

Kuonana kibamia kinaweza kubadili location
Kama una kibamia chako upambane na hali yako me nimejizungumzia mm ambae niko na mume
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,567
2,000
Nilichogundua kwa experienc yangu ya kuwalala hawa mabint,.
1.bint akiwa na miziwa ambayo haina mvuto,weng ndo hua wanapenda kuzima taa ama kujifunika funika,
2.wenye matumbo makubwa pia
3.wenye mapaja meus katkat
4.wenye ukurutu pia.
5.mabonge ndo kabsaaaaa,yaan kuna moja lilinambia,daah ningejua bora nisingevua hii sidiria,nkalionea huruma kinoma,..
Sisemi haya kwa ubaya,..ila tunajisahau sana kiukwel,kuna watu wanafanya mazoez sana kuepuka haya.
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,794
2,000
Aiseeee nunua taa zile za mwanga hafifu hususan zinatoa rangi ya pink ivi au blue like usoumiza macho..

Wanawake wengi wapo sensitive sana na Rangi +mwanga ..mazingira kama hayo yanamfanya mwenyewe awe naham kubwa ya kulika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom