Ulaya ngoma ngumu. Msaada kwa ambao wapo Europe

mkuu usiwe mchoyo na kujigamba wakati wenzio wana kufa au kutaabika... uwezo unao jaribu kuwa saidia... ndg hawa watanzania wenzako... hawaendi ulaya kwa kupenda na kuacha ndg jamaa... wake watoto... ni vile wanatafuta ili waje wasaidie walio waacha kwa kuwa wana nguvu... sasa tatizo ni wakumuonesha fursa ndio maana ana haha huku na huko aweze fanikiwa... Mkuu saidia ndg zako hawa...
Umeona majibu yao lakini mkuu ,hawaamini tena katika nchi yao
 
Tuwe makini yaan kuishi nchi za watu huwa changamoto sana, unaweza kuta unatumia muda mwingi kusaka vibali huku muda unaenda na unashindwa kutimiza malengo yako,

Usianze safari bila kujihakikishia wapi unaenda na unaenda kufanya nini na kwa Muda gani, nani atakuwa host wako,
 
Mkuu kote ulaya sasa hivi ni ngumu kama ujawekwa kwenye system social security number. Huwezi kuwa na benk account, huwezi kupanga nyumba na huwezi kufanya kazi. Utakuwa ulaya jina tu. Nawaona wenye makaratasi ya spain na Italy wanashida sana licha ya kuhodh italian docs wanakuwa deported. Siyo rahis wengi wanavyodhan ukitinga tu ulaya hata na visiting visa
Shemeji yako kakuhifadhi ulaya hapo naona ùnadunda tu humu JF Kumbe unalala kwenýē masofa tu, wakwanza kuamka na wa mwisho kulala
 
huko ndiko kujielewa kwa kila nchi,sasa wewe nchi yako ni choo kila mtu anaingia na kutoka bila ya kuulizwa!
 
Mtoa mada si mkweli.
Iko hivi,kama umekaa Ujerumani miezi sita na zaidi na umekabidhi utambulisho wako immigration maana ya Passport au birthcertificate,basi unapewa work permit (hawakatazi mtu kufanya kazi zingatia kigzo hiki cha kutoa identity)

Kazi
Zipo nyingi sana Ujurumani hasa Bavaria,na minimum wage zinarange from 8.5 to 12€ kwa saa.

Kodi.
Ikiwa uko single utakatwa 44% percent,ikiwa uko na familia utalipa 22% (uwe na proof kama marriage certificate na children birth certificate)

Lugha,
Ni kweli kikoloni ni lugha ngumu sana sana.Na ni rahisi zaidi kupata na kuchagua kazi kama unaongea kikoloni.
Ila sio guarantee,hapo makamuni mengi yanahitaji wafanyakazi bila kujali kigezo cha lugha mfano Amazon n.k
Mleta mada pia zipo kazi kama Spüler (dish washer) haziihitaji ujue kikoloni na minimum salary ni 1200€ /mwezi after tax.

Note.
Ni vizuri kusoma japo Germany orientantation kozi kwa miezi mitatu kama hiyo nafasi inapatikana.

Kwa case ya mtoa mada,
Atuambie je alikabidhi utambulisho wake migration?

Papers.
Ni kweli mkoloni hatoi karatasi kirahisi ukilinganisha na nchi nyingine,ahueni yako ufanye kazi japo ufanye yako bongo.
yah immigration inanitambuwa passport bado hawajanipa tatizo ni permit work imekuwa mlolongo mlef Ajab kingin ni lugha pia inakwamisha maana hii lugha si mchezo kuijuwa
 
Sawa na hela unayoingiza bongo ukiwa na daladala moja.Soon tutaajiri wazungu

Jibu Swahili kijana.
Wewe ulivyofika Ujerumani,passport iliyokuleta Ujerumani au cheti chako cha kuzaliwa ulikikabidhi Idara ya Uhamiaji ya Ujerumani?Kama lay,kwanini?
 
Jibu Swahili kijana.
Wewe ulivyofika Ujerumani,passport iliyokuleta Ujerumani au cheti chako cha kuzaliwa ulikikabidhi Idara ya Uhamiaji ya Ujerumani?Kama lay,kwanini?
kimazingira yaliokwepo na mwenyeje wang sio alinipa ushauri huu mkuu
 
K
Write your reply...
ninafanya kazi cologne na shirika nimetembea miji kadhaa hapo Dortmund, Hannover Munich,monchengladbach, Frankfurt nk,ila kwasasa nipo instanbul uturuki kwenye ofa ya mapumziko, kabla ya kurudi tz kula xmass baadae nitarudi Tena,ujerumani Kama huna kazi ya maana utaiona ni chungu,ujerumani maisha ni magumu mno huwa naonea huruma waafrika wanaokimbilia huko bila mipango ni mateso,Kama huna kazi ya maana ni heri ubaki bongo Mara 700
britanicca ni shahidi
cc
lucas mobutu
kyaibumba
Umeamua kuniogopesha ama? Nataka kwenda kubeba box sasa kwa vitisho hivi si ntafia kolomije?
 
ughaibuni siyo mchezo. Hakuna mtu atakuonea huruma. Kule pesa ndiyo kila kitu. Huwezi ukaamua leo chakula cha jioni nile kwa ndugu yangu sahau hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom