Ulaya hawana msaada wa bure

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,425
13,935
Tuwe macho maana wazungu ndio wenye msemo wa "No free lunch". Kila cha bure kina mtego wa wazi au uliofichwa. Kabla ya kupokea msaada wowote hasa wa mzungu kaa kitako na watu wako kwanza muujadili na kutafakari kwa sauti.
 
Back
Top Bottom