Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 5,950
- 23,229
Mkuu nilichokieleza ni kweli kabisaSio kweli!! Ni Masasi peke yake ndiko panya wanakoliwa kwa wingi! Hakuna sehemu yoyote Lindi unakoweza kuta panya wanaliwa kwa wingi, na ukiona watu wanakula panya basi huyo ni mwenyeji wa Masasi! Ni kama Zanzibar ukute mtu au baadhi ya watu wanakula kitimoto halafu u-conclude kwamba ni jambo la kawaida sana Zanzibar kuona watu wanakula kitimoto!
Ukikuta mahali Lindi wanakula panya basi ni kama kukuta Zanzibar watu wanakula kitimoto!! Pia sio rahisi ukute panya wanaliwa kwa wingi wilaya zingine za hata mkoa wa Mtwara mbali na Masasi kwa sababu, ukitoa Masasi, wilaya karibu zote Mtwara zimejaa Waislamu!!
Hili nalifahamu vizuri kwa sababu nimezunguka sehemu mbalimbali za mkoa wa Lindi na Mtwara kuanzia mwezi March hadi June.
Kuna sehemu mkoa wa Lindi panya wanakula vizuri Tu..au naongopa mkuu Viprealestate