Ulaji wa Maharagwe na tatizo la kujaa kwa tumbo/kuuma

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,384
5,509
Jamani nipo Huku kwa wangoni kjiji fulani kama week plus, ila kutokana na mazingira inanibidi nitumie maharagwe everyday kama mboga kuu kwa haya maeneo kiukweli haziishi Siku mbili lazima nipige maharagwe.

Sasa tatizo najiona tumbo limeaanza kujaa gas sometime linauma hasa nyakati za usiku, nikienda haja hakuna ninachopata kabisa zaidi ya gas tu.

Daaaah, aiseeh nilikuwa sijui ghadhabu ya maharagwe uki-overeat namna hii na kuanzia Leo naacha kula maharagwe.

Poleni sana wanafunzi wa bweni huko mashuleni
 
Ukiona unapata maumivu baada ya kula maharagwe basi mara nyingi ni vidonda vya tumbo. Nenda kapime Hospitali. Pia kwa sasa kila baada ya kula maharage basi kula baking powder ambayo ni sodium bicarbonate kama nusu kijiko cha chai utajiskia sawa kwani inaondoa tindikali tumboni.
 
Duuu, mzuri hii mkuu.. pamoja sana
 
Ukiona unapata maumivu baada ya kula maharagwe basi mara nyingi ni vidonda vya tumbo. Nenda kapime Hospitali. Pia kwa sasa kila baada ya kula maharage basi kula baking powder ambayo ni sodium bicarbonate kama nusu kijiko cha chai utajiskia sawa kwani inaondoa tindikali tumboni.
Inauzwa kwenye maduka ya dawa ya kawaida? na hayana madhara?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom