Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,029
- 173,693
Dar jam nyingi sana tatizo, yani hapa na hapa hasa rush hours ila wa mikoani wanapeta tuHapa umesema ukweli. Ndio maana hizo gari watu wanasema zinabwia. Hamna mtu ataendesha kwa principles ili uweze kupata l/km zilizoainishwa na mtengenezaji. Hio gari hapa Dar ukijitahidi Sana 6km/l.