Ulaji wa data za intaneti tiGo ni aina mpya ya wizi, ufisadi, na ujambazi

Hongera...basi wanachinja kwa mtu na mtu
Me natumia WhatsApp na jf basi lakini one GB LA halotel halifiki siku 7 wanazodai per week
Ukija kwa Tigo ndo ndo wananichefua mimi.
Naomba maelekezo ya hiyo setting uliyofanya


Kama unatumia android ,bonyeza app bila kuachia itakulea machaguzi afu wewe utaenda kwenye 'app info' ambayo ina ki-symbol cha 'i' kisha unaenda sasa kwemye permission na data usage weka background off, inasaidia kiasi chake kupunguza matumizi ya mb .
 
Ikoje hiyo mkuu
hapo
Screenshot_20190811-233414.jpeg
 
Back
Top Bottom