heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,752
- 8,692
Tuone watakavyo anza kubana matumizi kila wilaya ijitengenezee yenyewe kwa gharama zao
Mbona hatujatangaziwa tenda jamanii au ndiyo upigaji ilibid tushindanishweKumbe tayariView attachment 1732495
Mbona haja cheka hadi kuonesha meno!?Kumbe tayariView attachment 1732495
Sio JK mkuu ni JPMNakumbuka JK walimpiga picha wakasambaza. Baadaye wakasema zimetoka vibaya, alipiga akiwa amechoka. Walazirecall nw kupiga zingine. Ni businees ya mamilioni kama siyo mabilioni.
Naomba namba ya jebra kambole nifungue mashtaka ya ukiukwaji wa tenda hii nasikia yeye n wakili mzur hata ukiua huku watu wanakuona akikutetea yeye uanachomoka kwenye kesi hyoUkiona manyoya..!?
Alikuwa kachoka sana mwili hadi rangiJiwe pia ile ya kwanza aliikataa sijui alisahau miwani!
leta nyingine, tabasamu lake sio
Imeisha hiyo kila zama na "NTU WAKE" ,wanaingia watu wengine kwenye connection.Rais mpya keshaapishwa. Kuna mengi ya kufanyia mabadiliko ya haraka kwenye nyaraka mbalimbali, machapisho, mihuri na kubwa kuliko yote PICHA YA RAIS
Wahenga walisema kufa kufaana na si kila atoaye chozi ni la uchungu. La hasha wengine ni machozi ya mamba!
Tayari wazee wa fursa wameshaanza kujipanga kupata tenda ya kutengeneza picha rasmi ya rais mteule Samia Suluhu Hasani.
Je, watapewa wale wale wakwetu ama hizi ni zama mpya? Muda utasema. Kumbuka hii si tenda ya kitoto picha ya rais kwenye ofisi zote za serikali nchi nzima na balozi zote nje ya nchi pamoja na wale wa makampuni na ofisi binafsi.
Mwaka wa jana picha moja ilikuwa inauzwa Tsh 50,000/=