Ulaji mpya huooo! Wazee wa connection naamini wameshajipanga

Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,256
2,000
Tuone watakavyo anza kubana matumizi kila wilaya ijitengenezee yenyewe kwa gharama zao
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,206
2,000
Mbona haja cheka hadi kuonesha meno!?
JamiiForums1767779158.jpg
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,088
2,000
Rais mpya keshaapishwa. Kuna mengi ya kufanyia mabadiliko ya haraka kwenye nyaraka mbalimbali, machapisho, mihuri na kubwa kuliko yote PICHA YA RAIS

Wahenga walisema kufa kufaana na si kila atoaye chozi ni la uchungu. La hasha wengine ni machozi ya mamba!

Tayari wazee wa fursa wameshaanza kujipanga kupata tenda ya kutengeneza picha rasmi ya rais mteule Samia Suluhu Hasani.

Je, watapewa wale wale wakwetu ama hizi ni zama mpya? Muda utasema. Kumbuka hii si tenda ya kitoto picha ya rais kwenye ofisi zote za serikali nchi nzima na balozi zote nje ya nchi pamoja na wale wa makampuni na ofisi binafsi.

Mwaka wa jana picha moja ilikuwa inauzwa Tsh 50,000/=
Imeisha hiyo kila zama na "NTU WAKE" ,wanaingia watu wengine kwenye connection.

-TBA iendelee na kazi yake kama awali - Regulation tu
-Suma JKT wafanye kazi nyingine.

Sisi kwenye sector ya ujenzi tumeathirika sana na uwepo wa TBA na suma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom