Ulaghai wa wanasiasa kwa jamii: Mbunge wa ludewa akiwapigia magoti wanafunzi kumuombea msamaha diwan

Chizzar

New Member
Jul 28, 2011
4
0
Cheki katika Nova Tzdream -
Katika hali isyo ya kawaida mbunge mmoja wa CCM anadaiwa kupiga magoti mbele ya watoto ili kumwombea msamaha diwani mmoja ambaye wananchi wanamtuhumu kujihusisha na ufisadi tovuti yako hii inakuletea mkasa kamili.
Duru za habari za kitafiti zinamtaja mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kuwa ndiye aliyepiga magoti katika hali inayotafsiriwa na wachambuzi wa maswala ya kisiasa nchini kuwa ni “ulaghai wa kisiasa”
Tayari mwandishi wetu wa Iringa ametua jimboni humo kufatilia kwa undani sakata hili la aina yake linaloonekana kukimaliza chama cha Mapinduzi CCM kiasi kwamba viongozi wake wameamua kulaghai wananchi kwa ghiliba ya kupiga magoti.
 
Back
Top Bottom