Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
wanamchuna hata mwizi ambae akikwidwa anauwawa, sembuse Teacher?
Wanasema wanapoza machungu ya kazi mkuuWalimu sura zao kama wanapunjwa lakini wanakunywa pombe mpaka wanalala bar, badilisheni lifestyle wanawake watawapita pembeni.
Kuwa huruma!Kidogo wapatacho wagawane na wenzao!
walimu wote wa primary na secondary maslahi yao ni finyu sana ilhali kazi wanayopiga ni kubwa!walimu wa kuonewa huruma ni wa shule ya msingi tu... sio hawa wa sekondari
Dawa ni kuwa dume suruali tuLazima tu achunwe maana hakuna namna
Weeeh! Hurumaa? Hao wa sec wanat**ba sana watoto wetu wa kike mkuu! Binti zangu mbili zote zinavaa top oversize now! Nna hasira nao sana.Kuwa huruma!
huoni mzgo huo
Nasikia mfalme wetu alikuwa mwalimu pia. Professional haifiwalimu wote wa primary na secondary maslahi yao ni finyu sana ilhali kazi wanayopiga ni kubwa!
wote waonewe huruma tu
Weeeh! Hurumaa? Hao wa sec wanat**ba sana watoto wetu wa kike mkuu! Binti zangu mbili zote zinavaa top oversize now! Nna hasira nao sana.
Itakua si kweli labda anasingiziwa!Nasikia mfalme wetu alikuwa mwalimu pia. Professional haifi
Hahaha pole sana mkuuu,Weeeh! Hurumaa? Hao wa sec wanat**ba sana watoto wetu wa kike mkuu! Binti zangu mbili zote zinavaa top oversize now! Nna hasira nao sana.