Ukweli wangu kuhusu utata rambirambi za mjane wa Mwangosi...

Ngoja tumsubiri Mchungaji Msigwa naye aje aseme yake kwani kwa ushahidi uliotolewa na Mjenga, pesa kiasi cha Shs. millioni moja kilihamishiwa kwenye account yake.

Je alizifikisha? Mchungaji njoo usafishe jina lako.

Tiba
 
Brother maggid wewe ni mtu mzima mwenye hekima za kutosha, Political pressure zisikufanye ukaonekana huna busara.Maswala ya msiba bila kujali itikadi yanaongozwa na mila na desturi tulizozoea kama Watanzania.

Nani kachanga nini msibani si utamaduni wetu zaidi ya kufanikisha kwa heshima msiba wa mpendwa wetu.Haya si ya kujadili mitandaoni.

Siasa zisitutoe utu na thamani ya watu tunaowaheshimu kama Mwagosi na Familia yake.Sidhani tunahitaji kuanza kuweka orodha za michango ya watu kujustify kelele za akina Lukosi na wenzake.

Si vizuri hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote wezi hawakosi sababu za kujitetea na ikiwezekana hata kwa vielelezo vya kugushi!
 
Tatizo ni kuwa pesa aliyokusanywa UK. ni zaidi ya hiyo 1mil. Kwa maana nyingine Chris Lukosi alitia mfukoni fungu fulani.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

Tarehe za viambatanisho mbona utata mtupu maggid ......... sometimes ni vizuri kukaa kimya. Umenikumbusha yule mwandishi mwenzio aliyekuja kulalama hapa akidai yeye sio shoga bali anazushiwa tu........michango aliyopata humu JF mpaka leo simsikii tena!

https://www.jamiiforums.com/celebri...-pili-wa-pascal-mayalla-maisha-binafsi-4.html
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona hujatoa conclusion ya kufuta upotoshwaji wa kuchafua majina ya watu?

Ungemaliza kwa kusema kuwa hakuna mtu aliyetafuna fedha za Familia ya Mwangosi, si Peter Msigwa wala Lukosi.
Kwenye maandishi yako umeishia kujidefend wewe binafsi pasi na kuwasafisha wenzio.
 
Wewe maggid, statement yako ya tranfer za pesa inaweza ikawa 'fake'...
Ulikua na balance ya Shs. zaidi ya 1.3 million, ukatoa sh. million moja, halafu balance ikabaki ngapi vile..???
Hesabu haiji hapo..!!
Hivyo 'document' yako sio sahihi, ni fake.
Bado hujajitetea chochote hapo..!! Wewe na Chris Lukosi hamjajitetea chochote hapo.
Statement fake, hata hesabu zake haziingii akilini...
 
Last edited by a moderator:
maggid Alipofariki David Mwangosi. Ulishupalia sana, ukageuka kuwa msemaji wa polisi na waandishi wa habari wa Iringa.
Umoja wa waandishi wa habari wa lringa,waligoma kuandika habari za kipolisi mkoa wa lringa wakishinikiza kamanda Kamuhanda awajibike.
Ulivyo mnafiki Majid ukajitokeza kuwapiga wenzio na kuwa kibaraka wa Kamuhanda.
Ukaona haitoshi ukaanza kufanya PR eti kwa kuchangisha rambirambi ambazo kimsingi mpaka leo bado hujaziwakilisha.
Mbali na kuunga mkono kauli ya Chagonja kuwa David Mwangosi kadondokewa na kitu chenye ncha na ukataka jamii iamini hivyo
Mungu si Athuman, tukapata picha za mnato alivyouliwa Mwangosi, lakini ulipinga tena.
Laana ya kupinga kifo cha mwangosi na kula rambirambi zake. Daima mzimu wa Mwangosi hautokoma kukuandama daima. Una laana katubu kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tumsubiri Mchungaji Msigwa naye aje aseme yake kwani kwa ushahidi uliotolewa na Mjenga, pesa kiasi cha Shs. millioni moja kilihamishiwa kwenye account yake.

Je alizifikisha? Mchungaji njoo usafishe jina lako.

Tiba

Mchungaji Msigwa ni Mchungaji wa vipofu wenye kumtowa Mmungu shukurani ,wachungaji kama hawa wamezuka wengi katika bara zima la africa wanatumia mgongo wa Bible na majumba ya kuabudia kujipatia fedha haramu nitatowa mfano Mchungaji Msingwa sio peke yake wapo wachungaji kama yeyey wengi sana tena sana pesa zao chafu hujengea majumba ya kuhubiria bible ili kuzisafisha kuendeleza mtaji kwa mfano hapa kwetu anzibar hakuna mwananchi asie juwa kuwa majumba mengi ya kuabudia yamejengwa kwa kisingizio tu lakini uchunguzi uliofanywa na wenyeji umeonesha majumba hayo hutumika kwa kukuza biasha za Uzinzi na madawa ya kulevyo vya baadhi ya hao wanao jiita wachungaji isitoshe ukifatilia kwa undani makanisa mengi ya hapa kwetu Zanzibar yaliyojengwa kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 90 hadi hivi sasa ni ya kusukitisha ukijuwa nini kinachokifanya
 
utata uko wapi mpsea 19/9/2012 na CRDB tarehe 4/10/2012.

Inakuwaje same amount amtumie Msigwa kwa Mpesa halafu aiingize tena CRDB? Walau hiyo pay-in-slip ingesainiwa na Msigwa tungeelewa......na gap ya hizo tarehe wewe sio utata kwako?
 

Hizi kitu zikoje wapendwa?

Tar 2012-10-9: Tshs 1,000,000 money in, balance Tshs 1,372,772.00
Tar 2012-19-9: Tshs 1,000,000 money out, balance Tshs 80,100.00

Kuna Tshs 292,672 hazionekani!

Tutaiamini vipi kwamba hii sio ya kupikwa?

Labda statement za CRDB ni tofauti na za benki yangu, vipi tunaweza jibiwa hapa, labda screen short zimezingua.
Labda kuna transaction zilizopita in between tar 10 mpaka 19, kama umeamuwa kuweka hii kama uthibitisho, huoni kama tuko interested na real look ya statement, otherwise tunaona unaweza kuwa umechukua transactions tofauti tofauti na kuziunganisha.
 
Sasa mbona hujatoa conclusion ya kufuta upotoshwaji wa kuchafua majina ya watu?

Ungemaliza kwa kusema kuwa hakuna mtu aliyetafuna fedha za Familia ya Mwangosi, si Peter Msigwa wala Lukosi.
Kwenye maandishi yako umeishia kujidefend wewe binafsi pasi na kuwasafisha wenzio.

Yawezekana Maggid hana ushahidi kuwa Lokosi hakuiba(kwa maana ya kama mchango wa wanaUK ulikuwa 1,000,000/= tu),na pia Bwana Maggid yawezekana hana uhakika kama Mchungaji Msigwa aliwasilisha hiyo 1,000,000/= kwa Mjane.

Wenye wajibu wa kuthibitisha hayo ni Lukosi na Mchungaji Msigwa,ila kwa namna Mchungaji alivyokaa kimya kwa muda mrefu kuhusu hili,na kwa namna kelele zinavyozidi kuvuma kuwa mchango huu haukufika kwa Mjane,then ni wajibu wa Mchungaji kulisafisha jina lake katika hili.
 
Alipofariki David Mwangosi. Ulishupalia sana, ukageuka kuwa msemaji wa polisi na waandishi wa habari wa Iringa.
Umoja wa waandishi wa habari wa lringa,waligoma kuandika habari za kipolisi mkoa wa lringa wakishinikiza kamanda Kamuhanda awajibike.
Ulivyo mnafiki Majid ukajitokeza kuwapiga wenzio na kuwa kibaraka wa Kamuhanda.
Ukaona haitoshi ukaanza kufanya PR eti kwa kuchangisha rambirambi ambazo kimsingi mpaka leo bado hujaziwakilisha.
Mbali na kuunga mkono kauli ya Chagonja kuwa David Mwangosi kadondokewa na kitu chenye ncha na ukataka jamii iamini hivyo
Mungu si Athuman, tukapata picha za mnato alivyouliwa Mwangosi, lakini ulipinga tena.
Laana ya kupinga kifo cha mwangosi na kula rambirambi zake. Daima mzimu wa Mwangosi hautokoma kukuandama daima. Una laana katubu kwanza.


Duh haya sasa, kwa jinsi unavyoogopa kuonekana mtu mbaya nadhani ukisoma haya mawe hapa juu waweza kufa kwa presha.Mambo mengine jikalie kimya tu kama Kikwete yanakuwaga ni upepo baadae yanapita Loh...
 
Majid siku 10 umekaa na pesa za rambi rambi si umezungusha mtaji wewe? Yaani rambi rambi imefanywa kisasa mno.....
 

Inakuwaje same amount amtumie Msigwa kwa Mpesa halafu aiingize tena CRDB? Walau hiyo pay-in-slip ingesainiwa na Msigwa tungeelewa......na gap ya hizo tarehe wewe sio utata kwako?
Kweli walimu wana kazi....

hakuna uhusiano wowote kati ya pesa iliyotumwa kwa MPESA na Lukosi na hiyo iliyopelekwa CRDB.Ya Lukosi iliishia kwa Mchungaji Msigwa kwa njia ya MPESA kama utamsoma Maggid vizuri.
 
nasubiri kwa hamu kusikia wataalam wa sheria waniambie kama ni halali kuanika hadharani akaunti ya benki ya mtu bila ridhaa yake.
ni ajabu kwamba Mjengwa naye anakuwa kama mwanasiasa.hajaeleza kama baada ya kuingiza pesa hiyo,kama kweli alifanya hivyo,kwenye akaunti ya Mh.Msingwa alimtaarifu juu ya suala hilo.
 
UKWELI WANGU KUHUSU UTATA RAMBIRAMBI ZA MJANE WA MWANGOSI...
......
Hitimisho: Ukweli wangu ndio huo. Hakuna hata senti moja ya rambirambi kwa mjane wa marehemu Mwangosi iliyopotea mikononi mwangu. Na chini hapo ni risiti ya CRDB ikionyesha fedha zote zilizochangwa na nilizoziingiza kwenye akaunti ya Itika Mwangosi, mjane wa marehemu Mwangosi. Ushahidi wa majina ya waliochangia na kiasi walichochanga pia upo.

Nimeyaweka haya hadharani kwa nia njema ili kuzuia upotoshaji na hali ya kuchafuana majina kama ningeamua kubaki kimya.

Nawashukuru nyote mnaoendelea kuniamini hata mnaposikia yenye kuzushwa juu yangu.

Wenu Katika Ujenzi wa Nchi Yetu.

Maggid Mjengwa.
Iringa.
0754 678 252
MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
Sasa km Uliingiza hela ktk Account ya huyo mjane moja kwa moja ingawaje ulipewa maagizo umpatie mchungaj msigwa kwanini usitokeze na kumwambia kwa ujasiri huyo mwehu Lukosi kuwa aache ujinga?

Pili kwanini ulikimbilia peleka wewe mwenyewe ?Ulitaka chuku sifa ukidhani ,Msigwa angepata sifa nyingi?

Tatizo hapa ni wewe,likifuatiwa na Mwehu Lukosi kuswitch side sasa anataka jichekesha upande wa pili..Lukosi atakufa km lonely dog ,hatokubalik hata na mkewe.
 
Mijitu imetafuna pesa ya rambi rambi alafu inakuja na 'vikaratasi' vya kuota okota kwenye ma dust-bin,
yaaani wiizziiiii mtupu!, aloooo, aloooooo, mngekuwa karibu yangu ninge-wa R.I.P kwa runguu tuuu
 
Back
Top Bottom