Ukweli wa yanayosemwa Mtaani Juu ya Betri za Simu

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
"Subiri mpaka chaji ya betri iishe kabisa ndo uchaji upya"
"Usitumie simu ikiwa kwenya chaji, ni hatari"

Hayo maneno, na mengine nayasikia sana mtaani nikawa najiuliza kama yana ukweli wowote wa kitaalamu.

Leo katika pitapita yangu kwenye mitandao, nimekutana na maelezo kwenye ukurasa wa yahoo
yanayozungumzia mambo kadhaa kuhusu betri za simu. Nawaletea HAPA hayo maelezo.
 
Back
Top Bottom