joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
Uthibitisho kuwa mungu yupo.Unataka uthibitisho gani?
Mazingira ya maisha yetu ni kielelezo tosha kwa uumbaji wa Mungu wetu.
Umewahi kuota jambo na baadae likakutokea ?
Mazingira siyo kielelezo tosha kuwa mungu yupo.
Kivipi mazingira yanaashiria kuwa mungu yupo?
Pia ushahidi mzuri ni ushahidi wa kushuhudia kwa macho bila kuambiwa mkuu.
Kama kweli yupo si ajitokeze tu watu tumuone ili tujiridhishe nafsi zetu.