Ukweli wa Nyungu: Waliotuvusha mapambano ya COVID 19 ni Rais. Magufuli, Prof. Tibaijuka, Jaffo ndiyo washindi wetu

Mimi nampa Marks nyingi sana Prof Anna Tibaijuka kwa kubutua Kombolela, ingetokea Rais angemshushua kwa mawazo yale basi kwa unafiki wa Kibongo tungemshangaa na U Prof wote bado ' ana imani za kishirikina' , lakin kwa kuwa Rais aliunga Mkono basi na wafuata Mkumbo tukapita humo humo, so ali take risk ya kutoa wazo lile hadharan

Hongera Mama 'Kashwagara'
Boya kashwagara ndo nini bro
 
Back
Top Bottom