Ukweli wa Nyungu: Waliotuvusha mapambano ya COVID 19 ni Rais. Magufuli, Prof. Tibaijuka, Jaffo ndiyo washindi wetu

Kwahiyo Tz imeshinda corona au tumeamua kuishi nayo?
Tz imeidhibiti Corona isilete madhara yani ata kama mtu ukiambukizwa isikusababishie kifo na kilichofanyika ni kuondoa hofu kwa watu, kuruhusu tafiti za dawa asili(mitishamba), kutumia njia za kawaida za asili kujitibu e.g kutumia malimao,tangawizi, vitunguu swaumu,karafuu,pilipili kichaa,asali kujitibu, kufanya mazoezi nk
Hizo ni njia za kawaida tu zinazosaidia watu.
Ndio maana yes maambukizi yapo tena sana tu ila asilimia za ugonjwa kuua imepungua sana
 
Nyie ndyo wajinga. Unafanya mass testing kama unataka kuchukua strategy mbalimbali za kupambana na ugonjwa. Nchi kama Tz huwezi kufanya mass testing coz ni out off control tyar. Kilichobaki ni kumuomba Mungu tu. Wakufa wafe na wakupona wapone. Ila uzuri corona haichagui maskini wala tajiri.
Pumbav nyie, out of control, tuanzie kwenye familia yenu na ukoo wenu ni wagonjwa wangapi wapo out of control achana na COVID 19 japo mafua ya kawaida tu. Haya hiyo haitoshi, huko mtaani kwenu ni wangapi wanaumwa sasa, walishaugua, na walishakufa kwa covid 19.

Yaani akili zenu za kisengerema hizi sijui mmetoa wapi.
 
Wewe kumbe unadandia train hebu fatilia humuhumu utajua ukweli.

Hint..fatilia ujue Rais wa sasa wa madagascar alipataje urais. Then ujio wake Tz kwa mara ya kwanza kilimtokea nini..

Si wote wanaofatilia mambo ya mataifa mengine, kama kuna uzi juu ya hilo, upandishe tuuone
 
Nina mawazo tofauti. Tupime kama nchi nyingine ili tupate uhakika. Bila hivyo ni danganya toto.
Hivi serikali kama haipimi na kutoa takwimu tunamdanganya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wote wanaofatilia mambo ya mataifa mengine, kama kuna uzi juu ya hilo, upandishe tuuone
Tatizo lilianzia hapa. Tanzania chini ya JK baada ya uchaguzi haikumtambua kama Rais halali wa madagascar.
Screenshot_20200602-171256_Chrome.jpg
 
Tatizo lilianzia hapa. Tanzania chini ya JK baada ya uchaguzi haikumtambua kama Rais halali wa madagascar. View attachment 1466744
Soma taarifa ifuatayo inayohusu maamuzi ya Rais anayejitambua kwa uzalendo wa nchi yake na mapenzi kwa wananchi. Magufuli ni mfano wa kipekee.

Lakini, baadhi ya wanasiasa, unao washabikia na kuwasujudu, hawachoki kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuutangazia ulimwengu ujinga wao wa kujipendekeza kwa mabeberu.

BREAKING: MADAGASCAR QUITS WORLD HEALTH ORGANISATION OVER COVID-19 SCANDAL

“WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO

Madagascar President, Andry Ranoelina, has removed his country from the World Health Organisation. He angrily said:

"Europe created organizations with the desire for Africans to remain dependent on them.

Africa has found a medicine against Corona virus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence as such they are refusing to acknowledge it.

From today, we are no more member of the World Health Organization."
“WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO

Madagascar President Andry Rajoelina has allegedly declared that the World Health Organization, WHO offered him $20,000,000 to put a little toxic in their remedy for coronavirus as the Europeans hacked their Remedy.

Andry Rajoelina says: “People be vigilant, the World Health Organization that we have joined by thinking that it will help us, is there to kill Africans.”

“My country Madagascar has found a cure for coronavirus but the Europeans have told me a proposed $20,000,000 to put toxins in this remedy to kill my African friends who will use it. I ask all Africans not to use their coronavirus vaccine, because it’s killing, come to Madagascar you who are sick, my country is ready to receive you with enthusiasm, our remedy is in yellow color, do not buy the one of the green color, the one of the green color comes from Europe, the Europeans hacked our remedy, they have put poisons to kill only the Africans as they wanted with the vaccines that we protest.” He added Please share this message because it is urgent, they hacked our medicine, I want all the Africans to know it, please do not keep this message with you, share!” He concluded.
 
Baada ya kuona uhuni wa Amana, Mloganzila, nk, watu wameona ni bora kujiuguza na kujifia majumbani mwao.

Huu ndiyo ukweli na hao unaowasifu (mmojawapo ni ndugu yangu wa damu kabisa) haya yote wanayajua. wewe upo Buza huko endelea kusoma vifungia maandazi Uhuru na Tanzanite na kuongea usivyovijua.

Kenya yenye population ndogo kuliko sisi ukiachilia mbali partial lockdown measures ina wagonjwa karibia 2,000... wewe Tanzania umefanya lipi kumzidi Kenya hadi ujisifie umeidhibiti korona?

kumbuka Kenya pia ndiyo ilikuwa moja ya nchi za mwanzoni kabisa kwenda kuchukua shehena ya Madagascar..... walikwenda kubeba mzigo kimyakimya siyo kama yule prof mtindiga wa jalalani na wakolomije wake walivyokwenda kule kujiselfisha kishamba huku wakifuja hela zetu hovyo kwa kutumia ndege yetu.

Walahi naapa kuna siku vyote hivi vitawatokea puani wezi wakubwa hawa!
Hamia Kenya mazee kwanini kujitesa na watu wasio wa sampuli yako.
 
Soma taarifa ifuatayo inayohusu maamuzi ya Rais anayejitambua kwa uzalendo wa nchi yake na mapenzi kwa wananchi. Magufuli ni mfano wa kipekee.

Lakini, baadhi ya wanasiasa, unao washabikia na kuwasujudu, hawachoki kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuutangazia ulimwengu ujinga wao wa kujipendekeza kwa mabeberu.

BREAKING: MADAGASCAR QUITS WORLD HEALTH ORGANISATION OVER COVID-19 SCANDAL

“WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO

Madagascar President, Andry Ranoelina, has removed his country from the World Health Organisation. He angrily said:

"Europe created organizations with the desire for Africans to remain dependent on them.

Africa has found a medicine against Corona virus but Europe thinks they have a monopoly of intelligence as such they are refusing to acknowledge it.

From today, we are no more member of the World Health Organization."
“WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO

Madagascar President Andry Rajoelina has allegedly declared that the World Health Organization, WHO offered him $20,000,000 to put a little toxic in their remedy for coronavirus as the Europeans hacked their Remedy.

Andry Rajoelina says: “People be vigilant, the World Health Organization that we have joined by thinking that it will help us, is there to kill Africans.”

“My country Madagascar has found a cure for coronavirus but the Europeans have told me a proposed $20,000,000 to put toxins in this remedy to kill my African friends who will use it. I ask all Africans not to use their coronavirus vaccine, because it’s killing, come to Madagascar you who are sick, my country is ready to receive you with enthusiasm, our remedy is in yellow color, do not buy the one of the green color, the one of the green color comes from Europe, the Europeans hacked our remedy, they have put poisons to kill only the Africans as they wanted with the vaccines that we protest.” He added Please share this message because it is urgent, they hacked our medicine, I want all the Africans to know it, please do not keep this message with you, share!” He concluded.
Umeanza kuleta habari za uongo. Hii ilikuwa taged kama fake news
 
Kwa hiyo sio Mungu tena, credit zote kwa jiwe, haya endeleeni kuchukua nafasi yake, ila yakiwakuta ya kina pharao msilalamike tu.
 
Kwa nini hujachangia chochote,unagombea jimbo gani nikuchangie japo mafuta ya gari
Bado hakuna mgombea yoyote wa chama chochote anayegombea popote kwasababu mchakato wa uchaguzi, bado haujatangazwa.
Kinachotangazwa sasa sio kugombea bali kutangaza nia. Jimbo langu naomba nilifanye siri, na asante kwa wish ya kuichangia, lakini kiukweli kabisa nilipanga nigombee ki Nyerere Nyerere, I won't spend a single cent! hivyo sihitaji mchango wa mtu yoyote. Kwenye jimbo ambalo mimi nina interest, Mbunge aliyepo did nothing!, tayari kuna mabilionea wawili, wamemwaga mihela jimbo zima, ila kiukweli japo ni matajiri, na wanautumia utajiri wao kununualia uongozi, lakini interms ya kuwawakilisha wananchi Bungeni na kumsaidia rais Magufuli, watakuwa hawana msaada wowote kwake, kwa CCM, bungeni na wala kwa wananchi unless kama umuhimu wao ni fedha zao.

Kuna mawaziri, manaibu, ma RC na ma DC kibao tuu ni vilaza, hawana msaada wowote wa maana na wengine ni totally insane, hivyo mimi kwa umasikini wangu, nikipigwa chini kwasababu mkono mtupu haulambwi, then nitaendelea na maisha yangu.

P
 
Pole sana, wewe ulikuwa na malaria na typhoid ambavyo havitibiwi na nyungu hivyo huna haki ya kusema kuwa nyungu haitibu corona, Kama ungekuwa na corona unafikiri hiyo dose ya malaria na typhoid ingekusaidia! Kumbuka ulituandikia yafuatayo "Wakuu naomba ushauri. Nimetoka Dar Juzi kuja Mwanza. Kwa kuogopa Maambukizi ya Covid 19. Niliondoka na gari yangu private na kurudi nayo. Dar nililala Usiku mmoja tu. Njiani wakati narudi nilibeba abiria kwa siti za nyuma tu. Ila mmoja wapo njiani kufika Singida alianza kukohoa sana. Ilibidi niwafaulishe kwenye basi na mimi sikuweza endelea na safari. Nikapeleka gari likaoshwa lote na ndani na kulipaka sanitizer ndani kila sehemu. Nililala Singida na asubuhi yake nikaendelea na safari. Kuja kufika Shinyanga na mimi nikaanza kukohoa kikohozi kikavu sana. Ni kama koo linakuwa linawasha au kukereketa. Nimefika kwangu mpaka nimejifukiza na kubugia malimao kibao. Ila koo bado linawasha tu huku nikikohoa kakikohozi kakavu na kepesi. Mwili wangu unasikia uchovu na homa. Viungo vyangu vinauma hasa joints na kiuno. Naamka nakula na kulala tu. Nimemwambia mke wangu anichungulie kwenye koo. Anadai anaona ninavidoda kwenye ulimi mwishoni karibu na koo. Sina uhakika kama ni corona kweli. Na kama ni yenyewe sijui kama nimeipata safari hii au hapo nyuma. Siku saba zilizopita nilikuwa Dodoma kwa public transport. Naombeni ushauri wanajukwaa nifanyeje? Maabara ya kupima Covid 19 inasemekana imefungwa kupisha uchunguzi. Sasa sina njia yoyote ya kupima na kujihakikishia kuwa hii ni Covid 19 ili nijiisolate na nianze kutafta tiba mbadala. Mimi ni active member humu toka 2011. Mkiona sipo akitivu tena kwa siku zijazo mjue kabisa corona imeshanichukua wapendwa. Hii sio story ya kutunga naambatanisha hata ushahidi wa trafic fine nilizokutana nazo njiani. Update: 20 , May. Hali yangu kiujumla sio nzuri kabisa. Usiku wa kuamkia leo nmelala na Homa kali sana. Kichwa na viungo vyote vya mwili vinauma sana. Mafua na kikohozi kikavu bado vinanisumbua. Naelekea hospital kupima malaria, typhoid na UTI. Jana nimejifukiza na nimekunywa sana mchanganyiko wa moto wenye limao, tangawizi, asali mbichi, na kitunguu swaumu." Leo unaipuuza nyungu! Hivyo ulivyotumia mwanzo kabla ya kwenda hospitali vilikusaidia pia kama ilikuwa ni corona basi viliishughulikia na hospitali ikamalizia hiyo malaria na typhoid. Katika vita usipuuze silaha yoyote, waache watakaopata matatizo kama yako, watumie silaha zote maana huwezi kujua wanaweza kuwa hawana malaria au typhoid.
 
Wana jf,

Nianze kwa kuwapongeza wapiganaji waliobeba siraha zote katika kukabiliana na ugonjwa was coronavirusi niliowataja hapo juu. Hongera zenu.

Pili , mpiganaji was kwanza msomi Dr. magufuri kwa kutuondoa ugonjwa Hofu.

Prof. Tibaijuka kupitiia bunge aliweza kuweka usomi pembeni akaomba zitumike na njia mbadala kwa kujaribu tiba ya njia asili ambazo zilitumika na mababu zetu kukabiriana na magonjwa mbali mbali.

Kiukweli dawa za kihaya kama alivyoeleza katika video yake wengi walizitumia waliponabtena aio ugonja huo tuu Bali magonjwa mengine kama homa ya mapafu, Mafia coronic, hata maralia, ukienda mahoapitari, nguvu ya nyungu imepunguza magonjwa mengi nyemelwzi, kumbe tanzania tunapungukiwa na nguvu za ulinzi wa miili yetu. Uwezi kura chipsi mayai, ugali kibua, wali maharage tuu ukapata kinga sahihi.

Watanzania immunity ilupungua sana katika kulinda miili yetu, ndio maana vigonjwa vidigo vidogo tunakimbilia hospital kujijaza sumu. Mfano. Wanawake wengi wanaugua UTI kumbe inatibika kirahiai na kitunguu maji na kitunguu swahumu. Watu wanaougua kutopumua vizuri, tangawizi, kasqagala vimewasaisia kusambaratisha kirusi hiki.

Matokeo ya nyungu, kwa video zilizokuwa zinarushwa toka Uganda some said I an Tanzania kugeukia mitishamba, zimeondoa dharau nyingi kwa tiba za ukweli za dawa za asili. Katika kitabu cha bukoba ward cha Dr. Kamuzora, majina ya dawa na matumizi take yapo tuu. Mfano dawa inayotumika Madagascar inaitwa Omushunau, omunyonyo no dawa imeonyesha mafanikio.

Dr. J. Pombe in mwanasayansi aliyeweka nguvu nyingi na kuchochea kutumia zaidi dawa za asili , waliozifatilia wamejiuguza majumbani wakapona.

Jaffo mzee was nyungu, juhudi zake tumeziona na kuamasisha watu waendelee kuoiga nyungu , kuna madaktari kadhaa ambao wametoa maelelezo ya nyungu kwa watu wenye matatizo makubwa ya upumuaji nao wamesaidia sana.

Siwezi kumwacha Ummy Mwalimu kwani amedumilia maths mengi ya Kigogo 2014 , GoodluckHaule kuotia twitter wakimtuhumu kuwa anashirikiana na serikali kuangamiza taifa.

Uwepo wa Rais makini kwa kutoviamini moja kwa moja vifaa vitolewavyo na mataifa mbalimbali kumesaidia kuiamsha dunia kwa wale wenye nia mbaya ambavyo wanaweza kutumia njia mbalimbali za kibeberu kuliangamiza taiga kwa faida yao. Kuwaambia watu waagone barakoa za vitenge, kuachana PPE za kizungu tu nako kumesausia
Vipimo vipi, mbona mlisitisha kupima watu

Acheni kutufanya sisi wajinga bwana.
 
t
Mbona hamtoi takwimu nyungu na mivuke imeponyesha wangapi?Muwe mnaona na aibu nyie .
akwimu ya nini wewe ukiugua mafua unamwambia nani, au ukiumwa maralia hata ukimwi unamweleza nani, hata hivyo nyungu unajitibia nyumbani, wtz million 58 wote hawawezi kutoa taarifa kila mara wanapoguswa
 
Back
Top Bottom