Ukweli wa Nyungu: Waliotuvusha mapambano ya COVID 19 ni Rais. Magufuli, Prof. Tibaijuka, Jaffo ndiyo washindi wetu

Nyungu haitibu corona msijidangamye. Ikikupata kama immune system yako ni ndogo lazima uende.

Mimi nimeugua wiki mbili. Nilianza na nyungu lakini hali ilikuwa mbaya zaid. Nimekula michanganyiko ya malimao tangawizi, pilipili etc. Hali ikaendelea kuwa mbaya tu. Mpaka mdomo na koo likawa chungu kisa kula madawa yasiyokuwa na dose.

Nilichofanya ni kupima magonjwa yote. Nikakutwa na malaria na typhoid. Nikayatibu kwa kumaliza dose zote. Nikala matunda ya kuimprove immune system Kama mananasi, machungwa na parachichi.

Mafuta ya mawese hayakukosa katika chakula nilichokuwa nikila. Nikaacha kulala lala nikapiga mazoez na kuendelea na kazi nyingne ndogo ndogo.

Nilirecover bila hata mwenyewe kujua. Mke wangu naye akafatia. Nkamwambia achane na nyungu afanye kama nilivyofanya yani yeye alipona within days.
Correction: Malimao na tangawizi, nyungu havitibu malaria wala typhoid bali vinasaidia kutibu Corona
Ukiumwa typhoid na malaria nenda hospital kama ulivyofanya na sio kila ukijiskia kuumwa ni Corona magonjwa mengine bado yapo hayajaenda likizo
 
Tiba za asili may foot. Mnategemea ARVs. si mtumie izo tiiba zenu za asili kutibu HIV, TB, ebola na malaria.

Kama mmeshindwa kutumia izo tiba kujitibu syo magonjwa, corona ndyo mtaweza.

Nyie siku ugonjwa ukigonga hodi kwako ndyo utajua haujui.
Hahahah mbona unahamisha magoli topic ni Corona wewe unaleta mambo ya HIV sijui Tb na Ebola kwanza kwani Ebola iko bongo? Inaelekea huu ugunduzi wa tiba za asili kwa Corona kuna watu umewafrustrate ambao walitaka kuutumia ugonjwa kama mtaji wa kisiasa.
Swali ni Hao wanaofuata masharti ya WHO wamefanikiwa vipi kuushinda ugonjwa? Si hao hao wanaangaika na chloroquine pamoja na kuwa imeonekana ina madhara
 
Napuuza sababu mke wangu naye alipata hali kama ile ile baada ya mimi nikamwambia aachane na upumbavu wa nyungu. Tena yeye skapona mapema sana kuliko mimi.

Sasa wewe subiri yakupate upige nyungu hadi ufe.
wewe ulikowa na magonjwa mengine nyemelezi hukuyajua mapema
 
Iko hivi hata wewe ukipimwa sasa hivi lazima ugundulike kuwa unamagonjwa. Sasa ili upambane na corona siri ni kuhakikisha immune yako haipambani na magonjwa menginebambayo yanaweza tibika.
 
Hahahah mbona unahamisha magoli topic ni Corona wewe unaleta mambo ya HIV sijui Tb na Ebola kwanza kwani Ebola iko bongo? Inaelekea huu ugunduzi wa tiba za asili kwa Corona kuna watu umewafrustrate ambao walitaka kuutumia ugonjwa kama mtaji wa kisiasa.
Swali ni Hao wanaofuata masharti ya WHO wamefanikiwa vipi kuushinda ugonjwa? Si hao hao wanaangaika na chloroquine pamoja na kuwa imeonekana ina madhara
Kwahiyo Tz imeshinda corona au tumeamua kuishi nayo?
 
Wana jf,

Nianze kwa kuwapongeza wapiganaji waliobeba siraha zote katika kukabiliana na ugonjwa was coronavirusi niliowataja hapo juu. Hongera zenu.
Pili , mpiganaji was kwanza msomi Dr. magufuri kwa kutuondoa ugonjwa Hofu.
Prof. Tibaijuka kupitiia bunge aliweza kuweka usomi pembeni akaomba zitumike na njia mbadala kwa kujaribu tiba ya njia asili ambazo zilitumika na mababu zetu kukabiriana na magonjwa mbali mbali. Kiukweli dawa za kihaya kama alivyoeleza katika video yake wengi walizitumia waliponabtena aio ugonja huo tuu Bali magonjwa mengine kama homa ya mapafu, Mafia coronic, hata maralia, ukienda mahoapitari, nguvu ya nyungu imepunguza magonjwa mengi nyemelwzi, kumbe tanzania tunapungukiwa na nguvu za ulinzi wa miili yetu. Uwezi kura chipsi mayai, ugali kibua, wali maharage tuu ukapata kinga sahihi. Watanzania immunity ilupungua sana katika kulinda miili yetu, ndio maana vigonjwa vidigo vidogo tunakimbilia hospital kujijaza sumu. Mfano. Wanawake wengi wanaugua UTI kumbe inatibika kirahiai na kitunguu maji na kitunguu swahumu. Watu wanaougua kutopumua vizuri, tangawizi, kasqagala vimewasaisia kusambaratisha kirusi hiki.

Matokeo ya nyungu, kwa video zilizokuwa zinarushwa toka Uganda some said I an Tanzania kugeukia mitishamba, zimeondoa dharau nyingi kwa tiba za ukweli za dawa za asili. Katika kitabu cha bukoba ward cha Dr. Kamuzora, majina ya dawa na matumizi take yapo tuu. Mfano dawa inayotumika Madagascar inaitwa Omushunau, omunyonyo no dawa imeonyesha mafanikio.

Dr. J. Pombe in mwanasayansi aliyeweka nguvu nyingi na kuchochea kutumia zaidi dawa za asili , waliozifatilia wamejiuguza majumbani wakapona.

Jaffo mzee was nyungu, juhudi zake tumeziona na kuamasisha watu waendelee kuoiga nyungu , kuna madaktari kadhaa ambao wametoa maelelezo ya nyungu kwa watu wenye matatizo makubwa ya upumuaji nao wamesaidia sana.

Siwezi kumwacha Ummy Mwalimu kwani amedumilia maths mengi ya Kigogo 2014 , GoodluckHaule kuotia twitter wakimtuhumu kuwa anashirikiana na serikali kuangamiza taifa.

Uwepo wa Rais makini kwa kutoviamini moja kwa moja vifaa vitolewavyo na mataifa mbalimbali kumesaidia kuiamsha dunia kwa wale wenye nia mbaya ambavyo wanaweza kutumia njia mbalimbali za kibeberu kuliangamiza taiga kwa faida yao. Kuwaambia watu waagone barakoa za vitenge, kuachana PPE za kizungu tu nako kumesausia
Marangu kuna msiba mkubwa!
Endeleeni kujipongeza.
 
Correction: Malimao na tangawizi, nyungu havitibu malaria wala typhoid bali vinasaidia kutibu Corona
Ukiumwa typhoid na malaria nenda hospital kama ulivyofanya na sio kila ukijiskia kuumwa ni Corona magonjwa mengine bado yapo hayajaenda likizo
Iyo research umefanya wapi?
 
Kwa hiyo mama apigwe likes za kutosha ana bahati anastafu siasa tungempa unaibu wa afya
Mimi nampa Marks nyingi sana Prof Anna Tibaijuka kwa kubutua Kombolela, ingetokea Rais angemshushua kwa mawazo yale basi kwa unafiki wa Kibongo tungemshangaa na U Prof wote bado ' ana imani za kishirikina' , lakin kwa kuwa Rais aliunga Mkono basi na wafuata Mkumbo tukapita humo humo, so ali take risk ya kutoa wazo lile hadharan

Hongera Mama 'Kashwagara'
 
Wana jf,

Nianze kwa kuwapongeza wapiganaji waliobeba siraha zote katika kukabiliana na ugonjwa was coronavirusi niliowataja hapo juu. Hongera zenu.
Pili , mpiganaji was kwanza msomi Dr. magufuri kwa kutuondoa ugonjwa Hofu.
Prof. Tibaijuka kupitiia bunge aliweza kuweka usomi pembeni akaomba zitumike na njia mbadala kwa kujaribu tiba ya njia asili ambazo zilitumika na mababu zetu kukabiriana na magonjwa mbali mbali. Kiukweli dawa za kihaya kama alivyoeleza katika video yake wengi walizitumia waliponabtena aio ugonja huo tuu Bali magonjwa mengine kama homa ya mapafu, Mafia coronic, hata maralia, ukienda mahoapitari, nguvu ya nyungu imepunguza magonjwa mengi nyemelwzi, kumbe tanzania tunapungukiwa na nguvu za ulinzi wa miili yetu. Uwezi kura chipsi mayai, ugali kibua, wali maharage tuu ukapata kinga sahihi. Watanzania immunity ilupungua sana katika kulinda miili yetu, ndio maana vigonjwa vidigo vidogo tunakimbilia hospital kujijaza sumu. Mfano. Wanawake wengi wanaugua UTI kumbe inatibika kirahiai na kitunguu maji na kitunguu swahumu. Watu wanaougua kutopumua vizuri, tangawizi, kasqagala vimewasaisia kusambaratisha kirusi hiki.

Matokeo ya nyungu, kwa video zilizokuwa zinarushwa toka Uganda some said I an Tanzania kugeukia mitishamba, zimeondoa dharau nyingi kwa tiba za ukweli za dawa za asili. Katika kitabu cha bukoba ward cha Dr. Kamuzora, majina ya dawa na matumizi take yapo tuu. Mfano dawa inayotumika Madagascar inaitwa Omushunau, omunyonyo no dawa imeonyesha mafanikio.

Dr. J. Pombe in mwanasayansi aliyeweka nguvu nyingi na kuchochea kutumia zaidi dawa za asili , waliozifatilia wamejiuguza majumbani wakapona.

Jaffo mzee was nyungu, juhudi zake tumeziona na kuamasisha watu waendelee kuoiga nyungu , kuna madaktari kadhaa ambao wametoa maelelezo ya nyungu kwa watu wenye matatizo makubwa ya upumuaji nao wamesaidia sana.

Siwezi kumwacha Ummy Mwalimu kwani amedumilia maths mengi ya Kigogo 2014 , GoodluckHaule kuotia twitter wakimtuhumu kuwa anashirikiana na serikali kuangamiza taifa.

Uwepo wa Rais makini kwa kutoviamini moja kwa moja vifaa vitolewavyo na mataifa mbalimbali kumesaidia kuiamsha dunia kwa wale wenye nia mbaya ambavyo wanaweza kutumia njia mbalimbali za kibeberu kuliangamiza taiga kwa faida yao. Kuwaambia watu waagone barakoa za vitenge, kuachana PPE za kizungu tu nako kumesausia
Hatujavuka ndugu. Sijui wewe unaishi wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza kwani corona imeisha unaposema hao watu wametuvusha unamaanisha nn?
 
Kwahiyo Tz imeshinda corona au tumeamua kuishi nayo?
Hata kuishi nayo pia ni ushindi. Huko nchi za watu wamejifungia ndani na njaa inataka kuwaangamiza. Sisi tunapiga mishe kama kawa. Kumbuka kuwa corona ikiwepo au isiwepo hakuzuii mauti kwa mwanadamu.
 
Uliambiwa tupo kwenye mashindano?
 
Back
Top Bottom