Ukweli wa nchi ya korea kaskazini kinyume na maneno haya anaejua au aliefika atupe ukweli kukoje has a?

Kuhusu mavazi likoje na radio na TV binafsi zipo?
Mavazi huvaa nguo zinazotengenezwa na viwanda vyao Hakuna uniform japo wanasiasa wengi huvaa suti Lakini Sio Kama zile za nchi za Magharibi .Radio na tv binafsi hazipo
 
Mavazi huvaa nguo zinazotengenezwa na viwanda vyao Hakuna uniform japo wanasiasa wengi huvaa suti Lakini Sio Kama zile za nchi za Magharibi .Radio na tv binafsi hazipo
Safi sana leo umetema madini. Ulifaa kuwa mshauri wa serikali tungefika mbali
 
Huyu jamaa ni kilaza sana ,nani ameruhusiwa kusomea huko pitia BBC Swahili kuna Uzi unaitwa mfalme was Pyongyang ndio uijue Korea kaskazini , ambako hata kuwa na simu ni jambo zito
Nimeenda huko nimekaa siku 6

Mkuu hakuna inchi isiyo kuwa na fulsa Korea kaskazini iko vyema kuliko inchi nyingi tu sema propaganda za wazungu zinazidi kuiharibia sifa ... Jama wanauwezo wakutengeneza Sim na ma gari na vitu vingi tu ... Je Tanzania yaweza kutengeneza nini ??
Kumbe wako vizuri sanaa,miundombinu ikoje haswa huko?
 
Utakuwa pekee uliekaa huko nikama hakuna fursa huko
Kwa hiyo Mimi ndio unanichukulia Kama kipimo Cha kujua fursa Kama haipo siyo? Kwamba mahali nikikaa Mimi Basi hapo mahali hamna fursa !!!! Niombe samahani
 
Kumbe wako vizuri sanaa,miundombinu ikoje haswa huko?
Usafiri kule mkubwa Ni wa kutumia Train hawatumii barabara SANA Kama sisi .Kutoka wilaya Hadi wilaya mkoa Hadi mkoa Ni kwa kutumia Train.Hivyo gharama za usafiri ziko chini Sana.Reli kule Ni nyingi kuliko mabarabara.Na wakorea kaskazini hupenda zaidi kusafiri na train kuliko mabasi.Shirika la reli Ni moja ya makampuni makubwa ya serikali yanayoiingizia serikali pesa nyingi sana
 
Usafiri kule mkubwa Ni wa kutumia Train hawatumii barabara Kama sisi .Kutoka wilaya Hadi wilaya mkoa Hadi mkoa Ni kwa kutumia Train.Hivyo gharama za usafiri ziko chini Sana.Reli kule Ni nyingi kuliko mabarabara.Na wakorea kaskazini hupenda zaidi kusafiri na train kuliko mabasi.Shirika la reli Ni moja ya makampuni makubwa ya serikali yanayoiingizia serikali pesa nyingi sana
Tangu umejitahidi kuipamba North Korea na sifa mkweche hizo. Mtakuwaje mtandao moja halafu useme mambo yako sawa !!. Nchi isiyoruhusu ushindani unategemea nini ?!.

Hata waTz wanaenda Seul na si Pyongyang. Kama kweli unatafuta maisha . Lakini kama unatafuta misifa ya makombora then jaribu.
 
Western propaganda hizo. Unazungumzia NK afu unarefer what Western Media says as your backup?
Huyu jamaa ni kilaza sana ,nani ameruhusiwa kusomea huko pitia BBC Swahili kuna Uzi unaitwa mfalme was Pyongyang ndio uijue Korea kaskazini , ambako hata kuwa na simu ni jambo zito
 
Nimekaa Korea kaskazini nikisomea itikadi kwa miaka miwili.Korea kaskazini Ni nchi pekee duniani ambapo katiba yao ya nchi imetamka wazi kuwa Ni marufuku mwananchi kulipa Kodi ya aina yeyote.Korea ya kaskazini serikali inaendeshwa kwa faida za mashirika ya umma.Haiendeshwi kwa Kodi Kama sisi.Wao walikataa siku nyingi kuwa tegemezi kwa wananchi walipa Kodi.Ni nchi pekee duniani ambayo Kodi ya mapato Ni marufuku

That explains why you write what you write here. You have been brainwashed to believe whatever you are told. Jiwe akikuambia kesho kuwa baba yako ni punda utashangilia huku ukikata viuno
 
Sijawhi kusikia watu wakisemasema wanaenda North Korea, zaid ni china na south Korea
Wanaenda watu kibao kutalii lakini vyombo vya habari vingi vya magharibi hawatangazi wao sababu hawataki usikie kuhusu mazuri ya korea kaskazini. Kwa nini sababu kubwa ziko kama hizi hapa msikilize huyu

Kwani mambo ya North Korea lazima yatangazwe na media za nchi za magharibi tu? Za nchi zingine zinafanya nini?
 
Kwani mambo ya North Korea lazima yatangazwe na media za nchi za magharibi tu? Za nchi zingine zinafanya nini?
Wao ndio Wana mtandao mkubwa wa vyombo vya habari vya kimataifa kwa hiyo wakiamua kukubania hutajulikana kimataifa
 
Mkuu hakuna inchi isiyo kuwa na fulsa Korea kaskazini iko vyema kuliko inchi nyingi tu sema propaganda za wazungu zinazidi kuiharibia sifa ... Jama wanauwezo wakutengeneza Sim na ma gari na vitu vingi tu ... Je Tanzania yaweza kutengeneza nini ??
Ni kweli kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom