Ukweli wa mboga ya majani ya chainizi na upungufu wa nguvu za kiume

Feb 20, 2014
13
20
Wanajamvi wenzangu kuna tetesi nimekuwa nikizisikia kuwa mboga ya majani ya chainizi inapunguza nguvu za kiume, je ni kweli? naomba kujuzwa
 

nosimo

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
247
0
Mhhh itabidi kuachana mayo Mara moja kabla baby boy hajaanza kumeza ugali vzr.
 

Tanganyikana

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
1,160
0
Mkuu chinizi ni mboga ambayo imelimwa hapa kwetu miaka na miaka, je kuna ukweli wowote juu ya madai aliyoleta mleta mada???

Nijuavyo mboga nyingi zilizokuja kwenye miaka ya 1988- 2000's sio mboga nzuri sana kwa afya zetu...ukitaka mboga nzuri tumia mchicha pori,mnafu wa asili,na figiri.
 

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,613
2,000
Nijuavyo mboga nyingi zilizokuja kwenye miaka ya 1988- 2000's sio mboga nzuri sana kwa afya zetu...ukitaka mboga nzuri tumia mchicha pori,mnafu wa asili,na figiri.

Umenikumbusha figiri kwa nyama kisha itiwe nazi....weee!
Penda sana figiri mimi.
 

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,623
2,000
Ngoja kwanza tumalize ya LOWASSA, then tutarudi ktk mambo yetu
 

OLD KOROGWE

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
558
195
Mchunga kwa nazi weeee, kungujulu kwa nazi ndo usiseme, mboga nkhoko na mauwa yake mh vina mwile eka!!. Acha hayo tunayo importiwa tokea nje yana madhara kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom