UKWELI WA MAMBO: Tunazoziita namba za KIARABU sio kweli ni NAMBA ZA KIHINDI

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,494
Habari wakuu.

Dunia nzima kama sio sehemu kubwa ya dunia tumeaminishwa kuwa kuna aina mbili za namba.Hata mimi nilijua hivyo hadi nilipokutana na maelezo hayo.

Namba za KIARABU: 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9
au
Namba za KIRUMI: I,II,III,V,X,L,D,C,M kama tunavyojifunza kwenye elimu za awali.

Uhalisia ni kwamba tunazoziita namba za KIARABU ni wahindi. Wachina na Wajapani ziliwafikia 718 lakini Wakaziona hazina maana hadi karne ya 19 ndipo wakazikubali tena.

ILI KUWA KUWAJE ZIKAITWA NAMBA ZA KIARABU?
Namba hizi zilivumbuliwa na Mwanahesabu wa India karne ya 1 hadi 4. Mwanamahesabu mwarabu kutoka Uajemi Muhammad ibn Musa al-Khwarismi ambaye ndie anayechukua sifa ya kuwa nyuma ya uvumbuzi huu katika maandiko yake ameweka wazi kuwa alizitoa india na zilivumbuliwa katika kipindi cha dora la GUPTA. Kilichowapa umaarufu sana waarabu hawa Al-Khwarismi na mwenzake Al-Kindi kwa sababu mmoja wao ndio waliofikisha hiyo habari hadi ulaya.

Kati ya Mwaka 967 na 969 , Jamaa aliyeitwa Gerbert na baadae kuwa PAPA SYLVESTER II msomi aliyetukuka aliisoma kwenye vitabu vya waarabu huko hispania. Baadae Leonardo Fibonacce Akasambaza wazo hili ulaya nzima kwa kuziita Namba za Kiarabu na kwa sababu karibu dunia nzima tulipokea mambo mengi kutoka ulaya basi hadi kesho wazo hilo likatapakaa kuwa namba za KIARABU.
 
waarabu na waislamu wa mwanzo walikuwa na bidii sana ya kukusanya maarifa. saluti kwao.
 
Kwaiyo hata izi tunazosoma sasaivi nizakiarabu maana naskia mkulu kauliza kama kunamtu bado hajazisoma izi za kiarabu anataka kutubadilishia za kirumi tuanze kuzisoma nazo
 
Waislam tena??

Hapo wamesema waarabu mkuu,waislam wanatokea wapi hapo??

Watu walipambana sana,safi sanaa
uislamu ulichangia kwa kiasi kikubwa kufanya waarabu waungane na kuunda centralized systems. mambo haya mawili ndiyo yaliwezesha ukusanyaji wa maarifa.
 
Kwaiyo hata izi tunazosoma sasaivi nizakiarabu maana naskia mkulu kauliza kama kunamtu bado hajazisoma izi za kiarabu anataka kutubadilishia za kirumi tuanze kuzisoma nazo
Abadilishe aisee maana mm nimeshazielewa
 
images
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom