steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Habarini wapendwa kwakipindi kirefu nilikuwa najiuliza Ni wapi bustani ya Edeni ilikuwepo hapo mwanzo
Swali hili lilikosa jibu kwa muda mrefu huku kilamtu akiniambia yake kuhusu hii bustani
Mapema leo nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja wa kijerumani nikamuuliza endapo anafahamu bustani ya Edeni ilikuwa wapi akanipa majibu ya tofauti kidogo
Jamaa akasema aliwahi kuambiwa na Bibi yake kuwa bustani ya Edeni ilikuwa sehemu ambapo sasa hivi panaitwa Ngorongoro Crater Nikashangaa kidogo
Akasema aliambiwa kuwu bustani ya Edeni kipindi hicho ilikuwa juu ya kilele Cha mlima na ilikuwa inapendeza sana
Lakini baada ya watu kumchukiza mungu kipindi Cha Sodoma na Gomora mungu akaangamiza kizazi chote na eneo la Edeni likatitia na kutengeneza Crater ambayo ndiyo Ngorongoro ndiyo maana hata fuvu la binadamu wa kwanza lilipatikana kalibu na eneo Hilo
Akasema wazungu wengi huenda pale siyo tu kuiona Crater Bali kuona sehemu ilipokuwa bustani ya Eden ila huwa hawaweki wazi kutokana tu na chuki zao ila kiukwel Ni kwamba Ngorongoro Crater ndiyo Edeni ya kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app