Ukweli utuweke huru: Hawa walihamia CCM baada ya kupigiwa simu na Rais Magufuli

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Kama wewe umewahi kupigiwa simu na mheshimiwa sana mkuu sana Rais Magufuli basi unaelewa jinsi ambavyo anaweza kufanya jambo lolote yeye kama yeye. Hawa hapa wamekiri kwa wenzetu kuwa walihamia CCM baada ya kupokea simu ya Rais Magufuli akiwashawishi kwa vyeo.

Hata kama hawana nia ya kuhama ila Rais akishakupigia simu akikutaka ufanye jambo fulani basi unakuwa huna namna. Ukweli pia baadaye utadhihiri kwani watarudi kwenye kambi zao zilizowalea.

1. David Kafulila
2. Julius Mtatiro
3. James Ole Milya

Hao wengine; Waitara alishawishiwa na Paul Makonda. Waliobaki wengine ni kazi ya Polepole. Likubwa wanaloaminishwa ni ubunge wa awamu mbili utakaokoma mwaka 2025. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kuchukua mikopo mikubwa ya malipo ya muda mrefu wa zaidi ya robotatu bilioni kwani wana uhakika wa kudumu miaka 7 ijayo ndani ya Bunge "Bubu" la Tanzania.

Pamoja na hao pia kuna baadhi ya wabunge wa upinzani ambao wanasumbuliwa sana kama Ester Bulaya. Huyu angekuwa na roho nyepesi basi Chadema angekuwa ameiacha wa kwanza kabisa. Hali hiyo imemfanya kuaminiwa sana na wabunge wenzake wa Chadema.

Baada ya hili wimbi. Wapinzani imara wataonekana haijalishi amehamia au kukulia Chadema. Wale watarudi na ukweli huu ninaouweka hapa leo watakuja kuusema miaka kadhaa ijayo.

Tuombe uzima.
 
Upinzani hauwezi kufa kabisa hili nalijua.
Wasiwasi wangu ni kuwa ,will we be able to mount a challenge come 2020?
Will we be able to regroup a fighting force?
Do we have a plan out of the trending situation?

A war can not be fought with a Motley collection of soldiers!
We need true believers
 
Kama wewe umewahi kupigiwa simu na mheshimiwa sana mkuu sana Rais Magufuli basi unaelewa jinsi ambavyo anaweza kufanya jambo lolote yeye kama yeye. Hawa hapa wamekiri kwa wenzetu kuwa walihamia CCM baada ya kupokea simu ya Rais Magufuli akiwashawishi kwa vyeo.

Hata kama hawana nia ya kuhama ila Rais akishakupigia simu akikutaka ufanye jambo fulani basi unakuwa huna namna. Ukweli pia baadaye utadhihiri kwani watarudi kwenye kambi zao zilizowalea.

1. David Kafulila
2. Julius Mtatiro
3. James Ole Milya

Hao wengine; Waitara alishawishiwa na Paul Makonda. Waliobaki wengine ni kazi ya Polepole. Likubwa wanaloaminishwa ni ubunge wa awamu mbili utakaokoma mwaka 2025. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kuchukua mikopo mikubwa ya malipo ya muda mrefu wa zaidi ya robotatu bilioni kwani wana uhakika wa kudumu miaka 7 ijayo ndani ya Bunge "Bubu" la Tanzania.

Pamoja na hao pia kuna baadhi ya wabunge wa upinzani ambao wanasumbuliwa sana kama Ester Bulaya. Huyu angekuwa na roho nyepesi basi Chadema angekuwa ameiacha wa kwanza kabisa. Hali hiyo imemfanya kuaminiwa sana na wabunge wenzake wa Chadema.

Baada ya hili wimbi. Wapinzani imara wataonekana haijalishi amehamia au kukulia Chadema. Wale watarudi na ukweli huu ninaouweka hapa leo watakuja kuusema miaka kadhaa ijayo.

Tuombe uzima.
Ngoja nimwambie Mukulu ampigie simu Mbowe,kumbe wakipigiwa tu simu na Mukulu wanalivua pendo na kuhamia CCM....!!!!
 
_20181008_094042.JPG
 
Upuuzi mtupu mmezoea kuwadanganya wafuasi wenu vilza wasio jua kupima Vitu
mnatumia Ujinga wa wanachama wenu kupiga pesa Chadema kwa manufaa yenu wenyewe
Chama Kinakuwa si cha wanachama bali saccos ya watu wachache!
Mnawafanya watu wachache kuwa miungu watu maamuzi yao ndio Msimamo wa chama bila yakujadiliwa na wanachama!!
Najua kama Rais angelifanya hivyo
Tungesikia hata sauti moja mtandaon akimshawishi mtu
na Inafahamika Kuwa Ushawishi sio lazima Ukubariwe
Iweje Rais apige cm!!
Kubarini Mnatatizo ndani ya Chama chenu
Hamtaki kujitathmini
Hamkosolewi
#HAKUNAUPINZANITANZANIA
 
Kama wewe umewahi kupigiwa simu na mheshimiwa sana mkuu sana Rais Magufuli basi unaelewa jinsi ambavyo anaweza kufanya jambo lolote yeye kama yeye. Hawa hapa wamekiri kwa wenzetu kuwa walihamia CCM baada ya kupokea simu ya Rais Magufuli akiwashawishi kwa vyeo.

Hata kama hawana nia ya kuhama ila Rais akishakupigia simu akikutaka ufanye jambo fulani basi unakuwa huna namna. Ukweli pia baadaye utadhihiri kwani watarudi kwenye kambi zao zilizowalea.

1. David Kafulila
2. Julius Mtatiro
3. James Ole Milya

Hao wengine; Waitara alishawishiwa na Paul Makonda. Waliobaki wengine ni kazi ya Polepole. Likubwa wanaloaminishwa ni ubunge wa awamu mbili utakaokoma mwaka 2025. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kuchukua mikopo mikubwa ya malipo ya muda mrefu wa zaidi ya robotatu bilioni kwani wana uhakika wa kudumu miaka 7 ijayo ndani ya Bunge "Bubu" la Tanzania.

Pamoja na hao pia kuna baadhi ya wabunge wa upinzani ambao wanasumbuliwa sana kama Ester Bulaya. Huyu angekuwa na roho nyepesi basi Chadema angekuwa ameiacha wa kwanza kabisa. Hali hiyo imemfanya kuaminiwa sana na wabunge wenzake wa Chadema.

Baada ya hili wimbi. Wapinzani imara wataonekana haijalishi amehamia au kukulia Chadema. Wale watarudi na ukweli huu ninaouweka hapa leo watakuja kuusema miaka kadhaa ijayo.

Tuombe uzima.

Mbona unapotosha?

Hao watatu walipigiwa simu au walipiga wenyewe kuomba ushauri wa namna ya kuhama?
 
Baada ya hili wimbi. Wapinzani imara wataonekana haijalishi amehamia au kukulia Chadema. Wale watarudi na ukweli huu ninaouweka hapa leo watakuja kuusema miaka kadhaa ijayo.
hayo ni maneno ya mkosaji hakuna aliyeshawishiwa kurudi ccm unaushahidi gani kuwa kuna rais aliwapigia simu wote wameona huko waliko siyo sahihi wanawaumiza wananchi waliowachagua maana huko hata kitu cha maendeleo mnapinga sasa unahaja gani ya kuwa mbunge wakulalamika tu kila siku watu wanataka maendeleo wewe umekalia kulalamika ndiyo maana wamerudio kuliko na sera za maendeleo hukomnaumizwa tu akili mwenzenu anakula ruzuku nyie mnabaki kupiga kelele hameni muda umebaki kidogo
 
Back
Top Bottom