ukweli utabaki kuwa ukweli tu.

All bright

Member
Dec 2, 2013
9
4
ukweli ndo huu na ukweli siku zote hauwezi changanyika na uwongo, na lazima ukweli ujitenge mbali na uongo. badhi wanataka habari positive tu kuhusiana na chadema wakati hilo haliwezekani kabisa kuwe na habari positive pekee yake. kingine hata kama hawapendi au hawataki kupewa habari za negative, lakini kwa kuwa ukweli ndio ukweli na haiwezekani uwongo kuwa ukweli itawabidi wakubaliane tu na huu ukweli mioyoni mwao, ingawa wataponda kwa hadhara.

"THIS IS IT"
 

Attachments

  • ukweli ni ukweli tu, na ukweli na batili havichanganyikani kamwe..jpg
    ukweli ni ukweli tu, na ukweli na batili havichanganyikani kamwe..jpg
    84.7 KB · Views: 207
Watanzania walishawajua hawa walaghai wa siasa slaa kadanganywa na yeye kaingia kichwa kichwa acha azalilike bure.
 
Sasa unalia nini?Dr.W.Slaa si amewasikiliza?Au mlitaka mwambia nani tena.Watanzania wamewasikia na kuwaona pia wamewasamehe bure.
 
Back
Top Bottom