All bright
Member
- Dec 2, 2013
- 9
- 4
ukweli ndo huu na ukweli siku zote hauwezi changanyika na uwongo, na lazima ukweli ujitenge mbali na uongo. badhi wanataka habari positive tu kuhusiana na chadema wakati hilo haliwezekani kabisa kuwe na habari positive pekee yake. kingine hata kama hawapendi au hawataki kupewa habari za negative, lakini kwa kuwa ukweli ndio ukweli na haiwezekani uwongo kuwa ukweli itawabidi wakubaliane tu na huu ukweli mioyoni mwao, ingawa wataponda kwa hadhara.
"THIS IS IT"
"THIS IS IT"