Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
- Thread starter
- #21
Naunga mkono hoja, na ndiyo maana nikasema kuna haja ya mabadiliko ya sheria zetu na katiba. CCM walichokifanya ni kwa kuwakomoa CDM kwani walishaelewa wamejikwaa na hata waende wapi wataonekana wababaishaji. Ieleweke sina ugomvi na chama cha CDM ila ndiyo ukweli huo.hizo loopholes na katiba ambayo haina maslahi to multparty ndio chanzo na ukiritimba wa ccm kwamba ndio chama pekee chenye haki