- Thread starter
- #41
๐๐๐๐
๐๐๐๐
HakikaTanzania hakuna chama madhubuti cha upinzani cdm ni wapiga dili tu.
CCM wabaki tu madarakani muhimu wajisahihishe walipokosea.
tatizo hujui lengo la mwenyekiti wakoAna miaka mingi,atajiuzulu tukifikia malengo.nyerere 1961 Hadi 1985
Acheni upuuzi mnawaumiza wanyonge kwa siasa za kishenzi na kibinafsi. Watu wengi wanateseka na kufa kwa wewe kuendelea kuitetea CCM na udhalimu wao wa miaka mingi. Utajibu hilo siku moja mbele ya Mungu!Habari JF,
Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM.
Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao walikuwa wanajua fika wanaingia kwenye uchaguzi lakini mshindi ni CCM.
Mfano mzuri kina Mzee Mrema, Mbowe na wengine wengi waliingia kwenye huu mfumo kuhakikisha Tanzania inakuwa na mfumo wa vyama vingi kama matakwa ya nje ili tuweze kusaidiwa.
CHADEMA haina ubishi ndio chama kikuu cha upinzani, wananchi wengi tunaimani nacho lakini je kinaweza kuingia Madarakani kwa Mwenyekiti Mbowe ambae anajua fika lengo lilikuwa ni kuhakikisha kunakuwa na vyama vya upinzani na sio kuingia madarakani?
Kila Uchaguzi CHADEMA wanasimamisha mgombea Urais lakini kiuhalisia Mwenyekiti anajua nini kitatokea .
Tume Huru kwa Huu upinzani wenye mamluki Itasaidia nini? Kwanini kina Mnyika ,Heche ,Tundu lissu,Lema ,Msigwa na wajumbe wengine..msifanye jambo Chama kiwe Imara?
Je, kuelekea 2025 tuendelee kuwaamini CHADEMA ya Aina hii? Najua kwenye ubunge upinzania utashinda sana vijana jipangeni.
Mbowe kachaguliwa au kajipa mamlaka?Tuanziye hapo.Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Inakuuma nini wewe? Kama wao wanamkubali si uwaache?Mnaambiwa ukweli mnaanza kuleta mapenzi badala ya siasa ,mtakapotambua kuwa mbowe ni pandikizi ndipo mtakuwa mmejielewa