Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,194
1,986
Habari JF,

Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM.

Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao walikuwa wanajua fika wanaingia kwenye uchaguzi lakini mshindi ni CCM.

Mfano mzuri kina Mzee Mrema, Mbowe na wengine wengi waliingia kwenye huu mfumo kuhakikisha Tanzania inakuwa na mfumo wa vyama vingi kama matakwa ya nje ili tuweze kusaidiwa.

CHADEMA haina ubishi ndio chama kikuu cha upinzani, wananchi wengi tunaimani nacho lakini je kinaweza kuingia Madarakani kwa Mwenyekiti Mbowe ambae anajua fika lengo lilikuwa ni kuhakikisha kunakuwa na vyama vya upinzani na sio kuingia madarakani?

Kila Uchaguzi CHADEMA wanasimamisha mgombea Urais lakini kiuhalisia Mwenyekiti anajua nini kitatokea .

Tume Huru kwa Huu upinzani wenye mamluki Itasaidia nini? Kwanini kina Mnyika ,Heche ,Tundu lissu,Lema ,Msigwa na wajumbe wengine..msifanye jambo Chama kiwe Imara?

Je, kuelekea 2025 tuendelee kuwaamini CHADEMA ya Aina hii? Najua kwenye ubunge upinzania utashinda sana vijana jipangeni.
 
Geofre Maseta

JF-Expert Member
Dec 27, 2022
493
885
CCM mnamuogopa sana eeeh? Kwnn mnataka mbowe aondoke kwenye uenyekiti? Mnajifanya mna huruma na chadema saaaana kumbe mbowe ni kikwazo kwenu ktk kuisambaratisha chadema eeeh. Mlifanikiwa kuisambaratisha NCCR Mageuzi kwa kuwa haikuwa na mkiti strong, ikazaliwa TLP ambayo ilikuwa ni CCM B kwa 100%

Bado NCCR Mageuzi ikajikongoja weee lkn mkaona haitoshi mkawaalika wahuni na hatimaye imesambaratika mazima sasa mkaenda CUF, hatimaye nayo iko hoi bin taabani. ACT Wazalendo iko chini yenu vzr kbs. Siku ikifika Mhe Mbowe atakaa pembeni lkn sio kwa kutushinikiza.
 
Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
 
IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,498
5,302
Mbowe akiwa Mwanza huku akiwa chakali kwa konyagi:

"Mbimbi bila kiiificho! Natampongeza waziwazi rais Samia,

Alafu kuna mwanachadema anatokea anasema madam president anakosea, this is madness!"
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
15,367
7,031
CCM mnamuogopa sana eeeh? Kwnn mnataka mbowe aondoke kwenye uenyekiti? Mnajifanya mna huruma na chadema saaaana kumbe mbowe ni kikwazo kwenu ktk kuisambaratisha chadema eeeh. Mlifanikiwa kuisambaratisha NCCR Mageuzi kwa kuwa haikuwa na mkiti strong, ikazaliwa TLP ambayo ilikuwa ni CCM B kwa 100%

Bado NCCR Mageuzi ikajikongoja weee lkn mkaona haitoshi mkawaalika wahuni na hatimaye imesambaratika mazima sasa mkaenda CUF, hatimaye nayo iko hoi bin taabani. ACT Wazalendo iko chini yenu vzr kbs. Siku ikifika Mhe Mbowe atakaa pembeni lkn sio kwa kutushinikiza.
Kwani Mbowe anafanya nini kuzuia Chadema isipitie kama hivyo vyama vyengine?
 
Geofre Maseta

JF-Expert Member
Dec 27, 2022
493
885
Mbowe ana muda gani kama Mwrnyekiti ?yeye ndiye mwenye uwezo kuliko wengine ?
Kwa sasa bado ni hitaji letu sisi wanachama wa chadema, msitupangie kabísa ... Siku ccm ikiondoka madarakani ndo cku na huku mbowe ataachia uenyekiti... Msitupangie na wala msitulazimishe
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom