Ukweli Usemwe: Hakuna Mwanaume mwenye mpenzi mmoja. Bado sijaona

Inategemea na intelligence, Wanaume wenye high IQ wanachagua wenza sahihi na kuwa pamoja mpaka mwisho wa maisha yao, upande mwingine wa spectrum kuna Wanaume watoto ambao hawajui wanatakana nini hapa Duniani hivyo kuishia kuruka ruka huku na kule, lkn pia ukweli ni kwamba hata hao Wanawake wenyewe hawawapati ingawaje wanataka kuwa nao, wanaishia kwenye mitandao tu kujisifu hewa, ...

Tena kwa upupu huu mwenyewe huko nyuma ya keyboard anajiona mjanja kweeeli, nimesoma huu uzi nimeishia njiani, wallah aibu nimeona mimi.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Utaona aibu ww. Kivip kila mtu na life style yake..
Tena kwa upupu huu mwenyewe huko nyuma ya keyboard anajiona mjanja kweeeli, nimesoma huu uzi nimeishia njiani, wallah aibu nimeona mimi.


Let's meet at the top, cheers
 
Fact ni kwamba wanawake wapo wengi sana kuliko sisi wanaume hata ukifanya tafiti ndogo kwnye hospitali zetu watoto wa kike wanazaliwa wengi kuliko wa kiume. Ndio maana dini nyingine zimeamrisha!.. Mwanaume aoe mke zaid ya mmoja.... Ila kivumbi kinakuja wanawake wenywe hawataki uke wenza.. ukianzisha hiyo mada hata kwa utani utasikia" ukioa mwingine talaka yangu iwe tayari"

So tafiti yangu ndogo niliofanya ni kwamba 97% ya wanaume wana mpenzi zaidi ya mmoja. Yeah ni ngumu sana kuwa na demu mmoja.. ngumu mno.. sijui wanaume waliopo kwenye ndoa mambo yanaendaje? Sijui kwa kweli..

Binafsi nipo kwenye mahusiano na wadada zaidi ya 3 na wote pisi za uhakika na wananikubali kupita maelezo!.. Acha hawa wa HIT & RUN.. Na ambao unawakataa kwa sababu mbali mbali. Kila mmoja ana gear yake kwangu ili nijue kwamba ananipenda.. Mmoja anakataa kuolewa kisa mimi kila siku balua zinaenda kwao.. Mwingine akija gheto yupo na kifurush cha nguo na vizawad kibao + na Wivu mwingine wa kijinga jinga! Kapiga simu anaambiwa inatumika baadae anahoj ulikua unaongea na nan?. Usipojibu msg kwa wakat kesi!..

Mwingine mara baby nimekumis dkk kadhaa muamala unasoma na text inaingia "jiandae tukutane sehemu X".. In short nahongwa pia..bidada anatumia pesa kulinda penz lake..mwingine akipga ananambia vip mama mzma! Nipe namba yake nimsalimie ( namkazia).. Yan anafanya ivo Ili nijue jins Gan anajali family yangu..

Sijawai kupigwa virungu sijui baby! Gas imeisha mara simu kioo kimevunjika! Mara kodi imefanyaje!.. Mara ich mara kile.. aaah hapana aiseh!.. Labda inachangiwa!.. Na jins ninavyoanza kutongoza.. Nipo real sana sinaga show off..huwa sijionyesh kama nina nguvu ya pesa siku ya kwanza ku meet nae... Huwa sina haraka nao mmejuana jana kesho unamwambia njoo kwangu!..( sio wanawake wote wapo kama unavyofikilia wengine wapo smart sana kichwani) .. Ila baada ya muda kupita siku moja moja!.. Huwa najiongeza na vi zawad vya hapa na pale Natafuta kitu Cha gharama nafuu na cha kawaida sana akikiona lazima anikumbuke!....

Cha muimu kwa wanaume jalibu Kua smart vaa vizuli.. Kua msafi nukia vizul ( manukato ya kiume) Acha masigara Naludia tena acha masigara!.. Kua flesh kimwil ( sex).. Weka vizul mwil wako kimuonekano ( fanya mazoez).. wanawake wanapenda vingi kutoka kwa wanaume!.. Ila Kat ya ivo vitu 55% ni muonekano wako.... Yeah jins unavyoonekana imebeba 55%... ( physical appearance). The rest 45% ipo kwnye vitu vingine..

Onyesha Ku jali mpelekee ata box la pedi!.. Mwambie baby!! Afya yako afya yangu.... Mpe muda wako..... Mpe uhuru.. & mueshimu!. Aah wadau mambo ni meng sana ngoja tuishie apa..

Kuna kiongoz mmoja alisema "sis wanaume ni wa yeyote"..

Nawasilisha
Ni kweli na wanawake vile vile wana mpenzi zaidi ya mmoja. Unachofanya wewe hakimzuii yeye kukifanya.
 
Back
Top Bottom