Ukweli unaoumiza kuhusu watu wenye akili nyingi ( highly Intelligent)

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
851
2,023
Habari za mda huu wanajf, ninapenda kushare na nyie ukweli unaoumiza kuhusu smart people. Watu wengi wanadhani kuwa na uwezo mkubwa kiakili ni jambo rahisi sana lakini ukweli ni kwamba
Watu hawa hukabiliwa na matatizo mengi ikiwemo
1.Msongo wa mawazo.
Wanatumia mda mwingi kufikiria na kufikiria tena vitu vingi , akili yao haipumziki hata wakiwa wamepumzisha miili yao.
2.Wana maadui wengi,
hii ni sababu kwanini huwezi kuwatambua kirahisi, hawapendi kujionyesha kwasababu ya uwezo wao mkubwa unaoweza kushitua wengi hivo kuamsha wivu.
3.Upweke.
Watu wenye akili nyingi wana marafiki wachach, ni wapweke, nb; ndege wanaofanana huruka pamoja, hivyo watu hawa hawapendi kuchangamana na watu wengine, jambo linalopelekea kuwa single mda mrefu, na wachache hufa bila kuoa wala kuolewa.
4. Jamii haiwaelewi kutokana na tabia yao ya kujitenga.
5.Wanategemewa sana, na wazazi au watu wengine jambo linalopelekea wengi wao kuwa na maisha magumu kwa kufeli au kushindwa kutimiza malengo yao kutokana na mitazamo ya watu wengine.
Kama una rafiki yako au ndugu yako au ni wewe usisite kumsaidia kwani wengi wao huishia kujinyonga au kufa kwa msongo wa mawazo.mfano, William Sidis, Max plancks, Isaac Newton, Albert Einstein na wengineo.
IMG_20210425_135456_418.JPG
IMG_20210517_121747_353.JPG
IMG_20210525_204655_686.JPG
IMG_20210420_225355_605.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom