Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Sawa.Mbona sioni huu ukweli
Hahaaaa, unatuharbia mzee, ndo kazi inatuweka mjini. Kumotivate watu wakalime matikiti kwa mtaji wa laki 1 na kuvuna milioni 10, sisi tunapata entrance fee
Motivation SpeakerHahaaaa, unatuharbia mzee, ndo kazi inatuweka mjini. Kumotivate watu wakalime matikiti kwa mtaji wa laki 1 na kuvuna milioni 10, sisi tunapata entrance fee
Huyu msukuma anatabu sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwani ni uongo???Huyu msukuma anatabu sana