Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mwingine unaokereketa ni kwamba utakapofika mwisho wa msimu, bingwa ni Juventus (Italia) na Simba (Tanzania)Huo ndiyo ukweli. Hongereni sana Yanga na miamba ya soka ya Ulaya na dunia AC Milan. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza katika kuilinda rekodi hii ya kuvutia.
Yanga: Daima Mbele, Nyuma Mwiko!
Timu bora inafunga moja moja kila mechi!Yanga ndio klabu bora africa kwa sasa
kwa kupokea wageni airportYanga ndio klabu bora africa kwa sasa
Nimegundua huyu ni wa kubet mtamwongezea timu za kubetiaHapo hapo Italy umeonaje Ac Milan na hujaona Juve na Sassuolo pia?
kwa Simba unajipa matumaini hewaUkweli mwingine unaokereketa ni kwamba utakapofika mwisho wa msimu, bingwa ni Juventus (Italia) na Simba (Tanzania)
Lakini anamaanisha ligi ya serie A,na siyo michuano mingineWe ni bonge la kilaza Lille ya ufaransa haijamfunga ac Milan goli 3 bila week kama mbili zimepita
Mlisema hivyo mechi ya Simba na Yanga,mkasema tena kwa Azam na Leo mnasema kwa JKT,Kama kawaida mtaliwa kibogaYanga atafungwa tu na JKT
Umeongea kwa uchungu sana...Yanga atafungwa tu na JKT
Hivi Yanga kweli wanasubiri kabisa kuchukua ubingwa? Serious?kwa Simba unajipa matumaini hewa