Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

Hoja nzuri..ila cna hakika km kuna ukwel wowote kuna kiongoz alienda tibiwa FLU nje ya nje!!km ni kukuza apo imezd m2 angu
Bakwata Lazima wawe karibu sana na serikali ya CCM kwa kila upuuzi, maana ndio waliyoianzisha na bila CCM Bakwata lazima ife, nadhani hao wazee wanalijuwa hilo.

Haya yote ni matokeo ya wananchni kuupuza kilio cha Waislaam kwa siku nyingi juu ya Bakwata na jamii kuwaona waislaam kama watu wa vurugu pale wanapodai na kusema ukweli, kama jamii nzima bila kuagalia kabila wa dini zao wangeungana na Waislaam tokea zamani katika malalamiko yao juu ya Bakwata kuwa ni chombo cha Serikali na CCM badala dini ya Kiislam tusingefika hapa. Waislam tumesema hili miaka mingi sana lakini kila mtu alituona kama wapiga kelele tu!

Hayo ni matunda ya mti tulio usiha sote tukubali na tujisahishe pale tulipokosea, sasa naona kama Waislaam wote wanaingia katika mtengo wa CCM kama walivyokuwa Wakatoliki siku za nyuma sasa nao watatia pamba sikioni kama Wakatoliki walivyotia pamba na kuimba nyimbo za kipuuzi kuwa Waislaam hawajasoma, hawataki shule nk, sasa wanaimba Wakatoliki ni CDM, wanavurugu, wanachanga dini na siasa, wanaiunga CDM mkono nk. mwisho wa siku CCM wanakuwa wametekeleza matakwa yako na nchni inaendelea kunyonywa na wachache huku wengi wakifa kwa kuumwa na mbu tu! wakati wao wakiumwa hata mafua haraka kupata matibabu nje ya nchni.

Ni mpaka sisi sote tutakapo weka mbele Utaifa kuliko hata dini zetu ndipo tutajenga hili Taifa, lakini kama dini zetu zipo mbele kuliko lolote hakika hatutaweza kupata taifa moja milele na milele.
 
tuachane na habari za huyu maza hana imact yeyote kwa watanzania. uISLAM au Ukristo hautusaidii, hata BAKWATA wataipenda, wataipenda, wataiependa CDM. Si ajabu mkasikia hayo baada ya JK kututosa kwenye mahakama ya kadhi.BAKITA Igunga nao watatoa tamko jipya kwani lile lilivunjika kutokana na emotions. wataipenda tu CDM
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.
hapo kwenye red panatisha sana,ina maana kwa dini ya kiislam ni lazima kuendelea kuwa muumini hata kama dhamira yako haitaki? sasa kama kuna ukweli kuhusu hilo, mimi inanipa shaka sana kama hiyo ni imani au utumwa? na sina uhakika kama hiyo dini ina asili ya Mwenyezi Mungu au ya kibinadamu maana tunavojua siku ya kiama Mungu ndie atakaetoa adhabu kwa wale waliomuasi au kumkosea(ndo maana ipo jehanam ) sasa hawa wanaolazimisha kutoa adhabu hapa duniani ina maana hawana uhakika na uwepo(uhai) wa Mungu wao? kuna msemo wa kiingereza unaosema 'you can force a donkey to go to the river but you can not force it to drink water' hivo hivo unaweza ukamlazimisha au kumtisha mtu awe muislam lakini huwezi kumlazimisha kuamini uislam toka ndani ya moyo wake because belief is not tangible but rather abstract! atakuwa ni muumin munafikun! atakuwa ni muumini kwa nje ili kuwaridhisha wababe wake lakini ndani ya moyo wake ana imani tofaut! ni kama mambo yenyewe ndo haya!- ee Mola tunakusihi utuepushie mahakama ya kadhi.
 
Usipokuwa muislamu lazima uwe mkristu?
Afadhali mfungo umeisha, biashara yangu ilikuwa inafanya vibaya sana. Thank God sasa hivi wanyama wangu wanatoka kama kawa.
Mimi sina cha kusema nilikuwa nataka tu kufahamu, kwa hiyo Mkuu, CDM ni chama cha Wakiristo tu?
 
Watu wanatafutia sehemu ya kutokea, ukweli ni kuwa walitumika vibaya Igunga!!
 
nahofia kuchangia. maada nikichangia mod hunipga ban. lkn ni wazi kama huyu mama kafanya hivyo anafaa kurudi ktk dini haraka. jee kwani wanaume wa kiislam hawapo? ndio maana tukaamrishwa tuoe zaidi ya mmoja ili kuepusha haya
Siyo kuuawa kwa kupigwa mawe?
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

Mhhh Jamani hakuna mwenye ushahidi wa wazi kuwa Huyu DC wa Igunga alibadili dini yake na kuwa mumewe ni mkristo. Nimeongea na ndugu kabisa wa Huyo DC akifanya kazi wizara ya kilimo hapa Dar, ambaye hata ukimwangalia tu wajihi wake wanafanana na huyo DC kanithibitishia haya. Kama mwanzilishi wa habari hizi " Mhariri wa Mwanahalisi" anauthibitisho juu ya jambo hili hebu atueleze zaidi. Vinginevyo naona ni majungu tu.
 
Watu wanatafutia sehemu ya kutokea, ukweli ni kuwa walitumika vibaya Igunga!!

Walitumika kama wajinga hawa wa Wizara ya madini? hivi inakuwaje jitu zima na akili zake linatumika kama Condom?

avatar43962_3.gif
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.
Kwani tuko Irani au Tz mwambieni huyo sijui sheikh apeleke upuuzi wake hukoooo Uarabuni
 
Mbona mnatuchanganya wewe unasema CDM chama cha watu wote.
Wenzako wanasema CDM ni chama cha wakristo, sasa sisi wa Wapagani twende wapi?

Hilo avatar lako tu linaonesha wewe ni pagani uliyechanganya na wale wais... wa siasa kali! Duh! Nendeni tu kwa magamba maana huko kunawafaa wajinga wajinga kana kina nepi na wenye maswali ya kijinga kama ritz.
 
kumbe ni mr. green gurd? (nashukuku) mchambuzi maana jamaa anaonekana ana njaa kali sana

Ben genious wa Vingunguti, habari za siku, naomba uniangalizie bei Mbuzi then uni-PM.
Halafu naomba maana ya (Nashukuku)
 
Back
Top Bottom