Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

Kwa nini mtu apigwe mawe mpaka kufa eti kisa kubadili dini? Sio haki, nyie waislamu mambo mengine sio ya kuzungumza zama hizi.

Hapo anamaanisha yule CD wa Igunga,muhalifu aka popo kwa kitendo alichofanya cha kuwaingiza mkenge,waislam njaa kama akina Rejao,ritz,FF na wengineo anastahili kula stone za nguvu mpaka aingie kaburini.
 
Linapokuja suala la dini hasa linalo wahusu waislam ndio utajua jinsi gani some JF members walivyo poor thinkers.
Huyo mama nafahamiana naye vizuri, ni muislam na hilo halina shaka.
 
INASIKITISHA SANA!Kwa kutumia propaganda mbaya za udini tayari kuna watu kwa maslahi yao wameshafanikiwa kwa kiwango kikubwa kuigawa jamii ya watanzania kwa misingi ya dini!Wanafanikiwa kwa kutumia udhaifu wa chuki za kidini zisizo na maana yeyote miongoni mweu,MFANO:Watu wanachukua matatizo ya BAKWATA na kuyafanya ni matatizo ya waislamu wote!wamesahau kwamba waislamu karibu wote nchi hii wako against na bakwata!naona tumeingia mtego wa hatari ambao utatumaliza very soon!Tuache "generalization"kwa kosa lililofanywa na mtu mmoja.
 
Bakwata Lazima wawe karibu sana na serikali ya CCM kwa kila upuuzi, maana ndio waliyoianzisha na bila CCM Bakwata lazima ife, nadhani hao wazee wanalijuwa hilo.

Haya yote ni matokeo ya wananchni kuupuza kilio cha Waislaam kwa siku nyingi juu ya Bakwata na jamii kuwaona waislaam kama watu wa vurugu pale wanapodai na kusema ukweli, kama jamii nzima bila kuagalia kabila wa dini zao wangeungana na Waislaam tokea zamani katika malalamiko yao juu ya Bakwata kuwa ni chombo cha Serikali na CCM badala dini ya Kiislam tusingefika hapa. Waislam tumesema hili miaka mingi sana lakini kila mtu alituona kama wapiga kelele tu!

Hayo ni matunda ya mti tulio usiha sote tukubali na tujisahishe pale tulipokosea, sasa naona kama Waislaam wote wanaingia katika mtengo wa CCM kama walivyokuwa Wakatoliki siku za nyuma sasa nao watatia pamba sikioni kama Wakatoliki walivyotia pamba na kuimba nyimbo za kipuuzi kuwa Waislaam hawajasoma, hawataki shule nk, sasa wanaimba Wakatoliki ni CDM, wanavurugu, wanachanga dini na siasa, wanaiunga CDM mkono nk. mwisho wa siku CCM wanakuwa wametekeleza matakwa yako na nchni inaendelea kunyonywa na wachache huku wengi wakifa kwa kuumwa na mbu tu! wakati wao wakiumwa hata mafua haraka kupata matibabu nje ya nchni.

Ni mpaka sisi sote tutakapo weka mbele Utaifa kuliko hata dini zetu ndipo tutajenga hili Taifa, lakini kama dini zetu zipo mbele kuliko lolote hakika hatutaweza kupata taifa moja milele na milele.
 
Uko sawa,sasa ni watanzania wenyewe waamue ama kubadlilika na kuwa waelewa ama waendelee kufinyangwa na propaganda chafu za ccm!
 
Mkuu Arafat hapo umenena ukweli hao CCM wanatumia kila hila kuvuruga mwelekeo wa ukombozi wa CDM!!! Wako tayari kupandikiza chuki ili waweze kutimiza azima zao. Ni bora tuwe makini na propoganda za kututoa kwenye malengo ya kulikomboa taifa letu toka kwenye mikono ya mafisadi. Waislam na Wakristo tuliishi miaka mingi bila choko choko zozote, hawa watu hawatajali hasara ya hizo chuki mradi tusiwe wamoja waendelee kutumbua nchi kwa wizi!!!!!!!!! Mfano ni Igunga walitumia kete ya kuwatawanya wana Igunga kwa swala la ijabu lililojitokeza ghafla na wakafanikiwa!!!!!!!! Yatubidi kama ulivyosema, tuwe makini tuzidishe mshikamano na akili ili tuweze kukomboa nchi yetu!!!!!!!!!! Lazima tuzigundue mbinu zao tuweze kuzipangua, hongera sana kwa ushauri mzuri!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo CDM ni chama cha wakiristo?
Nimegundua kwa nini watu wengi makini wanakwepa kujibizana na hoja zako hapa jamvini. Kumbe wanazingatia ule msemo "Never argue with a fool ......................
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, "Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa."

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, "Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu)."

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

Shamba la DC wa Igunga: shamba la dc.jpg
 
Mbona mnatuchanganya wewe unasema CDM chama cha watu wote.
Wenzako wanasema CDM ni chama cha wakristo, sasa sisi wa Wapagani twende wapi?
Wewe ritz wacha ubabaishaji wewe ni maghamba's, hizo comments zako zinajionyesha. Tena uko kikazi zaidi hujali hasara ya hizo comments, mradi wewe unalipwa basi!!!!!!!!!!!!( Ritz One)
 
Back
Top Bottom