Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

Mimi ndo hapo nawapendea ccm ukiwa mjinga wao dili,sasa kazi kwenu mlojifanya mnaijua haki.ccm wao wako bize na sherehe za ushindi ni lazima.
 
tuliziweka habari zote kabla ya uchaguzi mkaziondoa... hamkuziona za maana sasa mama MODS wanaziacha for what reasons?

it is a failure from news achors, politicians, Jamii Forum to our Jamii Forum Mods

Mkuu ninaanza kupoteza imani na mods wa jf mambo mengine hayavumiliki kunabandiko halikuka atadakika 3 wakatowa kisa limechambuwa dini mitume mwaka wakuanza kwa hizodini zote tunaipotosha jami dini zote zikijiingiza kwenye siasa tz haitakalika viongozi wa dini wengi viraza hawajuwi mipaka ya kazi zawo
 
aaaah politikiiii ahaaaaa haiwachoshi gutter politics ahaaaaa haaaaa the whole saga was siasa za majitaka na lazima ziwarudi muumbuke!!
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”
Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”
Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

Huyu DC akigombea ubunge anaweza kuzoa kura nyingi sana tayari watu wamesha mnadi vya kutosha
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”
Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”
Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

gazeti la chadema tangu lini limeandika vizuri kuhusu waislam,serikali na ccm.chadema wataandika vizuri sana habari za kanisa na wachaga.....si vinginevyo.
 
naye mwanazuoni mashuhuri nchini, sheikh issa ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”
kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, sheik ponda amesema, “hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”
baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa bakwata na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa ccm. Source - gazeti la mwanahalisi.

mwanahalisi la lini? Mbona la wiki hii bado?
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”
Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”
Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

Kwa nini mtu apigwe mawe mpaka kufa eti kisa kubadili dini? Sio haki, nyie waislamu mambo mengine sio ya kuzungumza zama hizi.
 
tatizo kubwa njaa za viongozi wa kiislamu.................mafisadi wa ccm wamewateka mpaka wanaisemea serikali wakati yenyewe uikiwa kimya...............uropokaji huu wa waislamu utatufikisha pabaya sana nchi hii.........................WAISLAMU WAACHE UNAFIKI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom